Home
Unlabelled
Balozi Massinda afanya mkutano na viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Ottawa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nchi yetu tamu sana. Balozi wetu wa canada anaitwa Alex Massinda. Kamwe hautawaona wabaguzi wa kidini wakitoa maoni yao. Siku nyingine ankal badilisha jina kidogo tuu {for research reason} andika kitu kama Twaha au Tariq Massinda ili tuone maoni ya watu wenye tabia za ubaguzi wa kidini nchini mwetu.
ReplyDeleteMzee Z.Mandari na H.Rutagemwa mpo ?
ReplyDeleteKazi ndio kipimo cha utu.
Hongera Mhe. Balozi for Good work done
ReplyDeleteLawrence
Popos Club
Bahari Beach
Naomba niulize huyu jamaa wa pili toka kushoto mwenye t-shirt yenye maandishi sio JOHN KALONGA?
ReplyDeleteNaomba niulize huyu jamaa wa pili toka kushoto mwenye t-shirt yenye maandishi sio JOHN KALONGA?
ReplyDeleteYep, huyo ndie brother John Kalonga, represent in Ottawa. I see you Mtani!! Do yo thang!!!
ReplyDeleteJK you know who it is...It's me Mtani from Maryland-USA.