Mhe. Balozi Alex C. Massinda (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa Ottawa mara baada ya mkutano.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. nchi yetu tamu sana. Balozi wetu wa canada anaitwa Alex Massinda. Kamwe hautawaona wabaguzi wa kidini wakitoa maoni yao. Siku nyingine ankal badilisha jina kidogo tuu {for research reason} andika kitu kama Twaha au Tariq Massinda ili tuone maoni ya watu wenye tabia za ubaguzi wa kidini nchini mwetu.

    ReplyDelete
  2. Mzee Z.Mandari na H.Rutagemwa mpo ?
    Kazi ndio kipimo cha utu.

    ReplyDelete
  3. Hongera Mhe. Balozi for Good work done
    Lawrence
    Popos Club
    Bahari Beach

    ReplyDelete
  4. Naomba niulize huyu jamaa wa pili toka kushoto mwenye t-shirt yenye maandishi sio JOHN KALONGA?

    ReplyDelete
  5. Naomba niulize huyu jamaa wa pili toka kushoto mwenye t-shirt yenye maandishi sio JOHN KALONGA?

    ReplyDelete
  6. Yep, huyo ndie brother John Kalonga, represent in Ottawa. I see you Mtani!! Do yo thang!!!

    JK you know who it is...It's me Mtani from Maryland-USA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...