SPIKA ANNE MAKINDA KATIKA
KITI CHAKE CHA ENZI

MHESHIMIWA ANNE MAKINDA NDIYE SPIKA MPYA WA BUNGE BAADA YA KUMSHINDA MH. MGOMBEA MABERE NYAUCHO MARANDU KATIKA UCHAGUZI WA KUMPATA SPIKA MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. MAMA MAKINDA KAPATA KURA 265 WAKATI MH. MARANDO KAPATA KURA 53

HIVI SASA SPIKA HUYO MPYA ANASIMAMIA ZOEZI LA KUAPA LA WABUNGE WAPYA WA BUNGE HILI LA 10. BUNGE LA TISA LILIMALIZA MUDA WAKE JUAI 16, 2010. ZOEZI LA KUAPA WABUNGE WAPYA LINATARAJIWA KUCHUKUA SIKU ZAIDI YA 2.

MAJINA YA WAH. WABUNGE WA KUCHAGULIWA BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. ni ANNE MAKINDA siyo ANNE ABDALLAH hao ni watu wawili tofauti.

    ReplyDelete
  2. Heading Anna Makinda, Habari Anna Abdallah. Bt hongera sana kwa mama Makinda.

    ReplyDelete
  3. Wanawake tukiwezeshwa tunaweza Hongera sana Mama Anna Makinda Spika wa kwanza Mwanamama

    ReplyDelete
  4. rekebisha ni anne makinda na si anne abdala, anne abdala alishatolewa kwenye mchujo

    ReplyDelete
  5. hongera mama yangu !!!!! inguruvi woneiwende, ccm imaraaaaa!

    ReplyDelete
  6. Hongera mama Makinda, tulijua utapenya. Zingatia maadili ya bunge kuwabana mafisadi na wale wanaowapakazia wenziwe bungeni bila ushahidi.

    ReplyDelete
  7. UGENDELAGE ULUDODI NZAWO, UGENDAGE UNOFU MAMA, USIWAOGOPE UUUUWOLOFU UUUUTWA MAMA.
    lino mama ukangalage, HONGERA YONO, avagosi ava
    vanya wolofu, Utanakunchyuma, wabena hongraaaaaaaaaaa mpooooo,
    inguluvi nyalusunguuuuuuuuuuuu,
    inguvi inguluvi inguluvi nyalusunguuuuuuuuuuuuuuuu
    moli moli mama inguluvi nyalusunguuuuuuuuuuuu.

    mama unaweza hakuna kipya tuko nyuma yako ukikosea mcheki jk mwenyekiti, ongoza mama onyesha hawa uwezo wako tujenge mama.

    Ras job wa Iringa.

    ReplyDelete
  8. Ndoto ya mchana,SwedenNovember 12, 2010

    Uchaguzi wa 2015 tunasubiri ili Tanzania kupata rais wa kwanza mwanamke.Wanawake wana uwezo mzuri katika uongozi.Tunataka rais mwanamke sasa!!!!Hongera sana Anne Makinda.

    ReplyDelete
  9. Hongera sana Mama Anna Makinda. "Mwanamke ni kama shigo, bila shigo kichwa hakiwezi kuzunguka".

    ReplyDelete
  10. Wanawake wakipendelewa wanaweza!!

    ReplyDelete
  11. Only in Tanzania - the very best in AFRICA -every citizen has equal rights including the minorities - wahindis, wanawakes, wazungus NK....we have MP's who are wahindis, waarabus and now mwanamke sika wa bunge...keep the good work my fellow tanzanians...Mdau Canada...Hongera Mama na hongera sana kwa allTanzanians

    ReplyDelete
  12. I LOVE POLITICS ...KINA MAMA OYEEEEE !!! HAYA MAMA ANNA SASA WAONYESHE HAO MABABA ZETU UADILIFU UKO VIPI ! HONGERA SANA CCM OYEEEEE !

    ReplyDelete
  13. Hongera mama yetu Anna Makinda. Tunajua UWEZO unao na UZOEFU unao. Kilichobakia ni sisi kukuombea na kukutakia kila la heri katika kulitumikia taifa letu vizuri kama ulivyofanya kwa miaka mingi. Mungu akubariki. Amen.

    ReplyDelete
  14. An examplary lady with an examplary career. Chaguo zuri.

    ReplyDelete
  15. Bunge mumeanza vizuri kwa kumchagua mtu ambaye yuko miaka mingi katika utumishi wa umma bila kashfa yoyote.

    ReplyDelete
  16. Pongezi mama Anna, sisi kina mama wa Moshono Arusha tunakutakia kila jema. Ubarikiwe.

    ReplyDelete
  17. huu si ushindi wa chama kimoja tuu: ni ushindi wa bunge zima na busara.

    ReplyDelete
  18. Wee NN Nhango umesema "we shall see" sasa naona "ume-see". But seriously, Hongera kwa Anna Makinda kwa kuwa lady wa kwanza kuwa Spika wa bunge la TZ. Next step, a lady 4 Rais? Why not? Angela M. Shinyanga.

    ReplyDelete
  19. KA'KA' NDILIMBUNGE BEE, VE MMNYALUDALI TULUMBILE VANYAKIDEGO UKHUTUTANGA BEYA. TWITANGILICHAGE TWEVONDO NYEVA VANYALUKOLO UKHUMYAVU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...