MHESHIMIWA ANNE MAKINDA NDIYE SPIKA MPYA WA BUNGE BAADA YA KUMSHINDA MH. MGOMBEA MABERE NYAUCHO MARANDU KATIKA UCHAGUZI WA KUMPATA SPIKA MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. MAMA MAKINDA KAPATA KURA 265 WAKATI MH. MARANDO KAPATA KURA 53
HIVI SASA SPIKA HUYO MPYA ANASIMAMIA ZOEZI LA KUAPA LA WABUNGE WAPYA WA BUNGE HILI LA 10. BUNGE LA TISA LILIMALIZA MUDA WAKE JUAI 16, 2010. ZOEZI LA KUAPA WABUNGE WAPYA LINATARAJIWA KUCHUKUA SIKU ZAIDI YA 2.
ni ANNE MAKINDA siyo ANNE ABDALLAH hao ni watu wawili tofauti.
ReplyDeleteHeading Anna Makinda, Habari Anna Abdallah. Bt hongera sana kwa mama Makinda.
ReplyDeleteWanawake tukiwezeshwa tunaweza Hongera sana Mama Anna Makinda Spika wa kwanza Mwanamama
ReplyDeleterekebisha ni anne makinda na si anne abdala, anne abdala alishatolewa kwenye mchujo
ReplyDeletehongera mama yangu !!!!! inguruvi woneiwende, ccm imaraaaaa!
ReplyDeleteHongera mama Makinda, tulijua utapenya. Zingatia maadili ya bunge kuwabana mafisadi na wale wanaowapakazia wenziwe bungeni bila ushahidi.
ReplyDeleteUGENDELAGE ULUDODI NZAWO, UGENDAGE UNOFU MAMA, USIWAOGOPE UUUUWOLOFU UUUUTWA MAMA.
ReplyDeletelino mama ukangalage, HONGERA YONO, avagosi ava
vanya wolofu, Utanakunchyuma, wabena hongraaaaaaaaaaa mpooooo,
inguluvi nyalusunguuuuuuuuuuuu,
inguvi inguluvi inguluvi nyalusunguuuuuuuuuuuuuuuu
moli moli mama inguluvi nyalusunguuuuuuuuuuuu.
mama unaweza hakuna kipya tuko nyuma yako ukikosea mcheki jk mwenyekiti, ongoza mama onyesha hawa uwezo wako tujenge mama.
Ras job wa Iringa.
Uchaguzi wa 2015 tunasubiri ili Tanzania kupata rais wa kwanza mwanamke.Wanawake wana uwezo mzuri katika uongozi.Tunataka rais mwanamke sasa!!!!Hongera sana Anne Makinda.
ReplyDeleteHongera sana Mama Anna Makinda. "Mwanamke ni kama shigo, bila shigo kichwa hakiwezi kuzunguka".
ReplyDeleteWanawake wakipendelewa wanaweza!!
ReplyDeleteOnly in Tanzania - the very best in AFRICA -every citizen has equal rights including the minorities - wahindis, wanawakes, wazungus NK....we have MP's who are wahindis, waarabus and now mwanamke sika wa bunge...keep the good work my fellow tanzanians...Mdau Canada...Hongera Mama na hongera sana kwa allTanzanians
ReplyDeleteI LOVE POLITICS ...KINA MAMA OYEEEEE !!! HAYA MAMA ANNA SASA WAONYESHE HAO MABABA ZETU UADILIFU UKO VIPI ! HONGERA SANA CCM OYEEEEE !
ReplyDeleteHongera mama yetu Anna Makinda. Tunajua UWEZO unao na UZOEFU unao. Kilichobakia ni sisi kukuombea na kukutakia kila la heri katika kulitumikia taifa letu vizuri kama ulivyofanya kwa miaka mingi. Mungu akubariki. Amen.
ReplyDeleteAn examplary lady with an examplary career. Chaguo zuri.
ReplyDeleteBunge mumeanza vizuri kwa kumchagua mtu ambaye yuko miaka mingi katika utumishi wa umma bila kashfa yoyote.
ReplyDeletePongezi mama Anna, sisi kina mama wa Moshono Arusha tunakutakia kila jema. Ubarikiwe.
ReplyDeletehuu si ushindi wa chama kimoja tuu: ni ushindi wa bunge zima na busara.
ReplyDeleteWee NN Nhango umesema "we shall see" sasa naona "ume-see". But seriously, Hongera kwa Anna Makinda kwa kuwa lady wa kwanza kuwa Spika wa bunge la TZ. Next step, a lady 4 Rais? Why not? Angela M. Shinyanga.
ReplyDeleteKA'KA' NDILIMBUNGE BEE, VE MMNYALUDALI TULUMBILE VANYAKIDEGO UKHUTUTANGA BEYA. TWITANGILICHAGE TWEVONDO NYEVA VANYALUKOLO UKHUMYAVU
ReplyDelete