Home
Unlabelled
hodi! mgao wa maji waingia dar....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
CCM OYEEEEEEEEEE
ReplyDeleteMtakoma nyie, sisi muheshimiwa Zungu katuvutia mpaka kona, unanunua mpira wako unavuta mpaka uani mpooo?! na barabara pesa zilikopwa na serikali kujengea shule za sekondari lakini sasa zisharejeshwa keshokutwa(ya manyani) tutamwagiwa lami.
ReplyDeletehuo mgao shingofeni hautuhusu!
michuzi usilete itikadi hapa!!
Salaam Ankal,
ReplyDeleteNdio maana umeme unakatika mara kwa mara , basi MGAo huo wananyamaza utaona ukifikia karibu na kuisha ndio wanajidai kuna mgao halafu baada ya siku mbili wanasema mgao umeisha tuone wanalo wanalolifanya kumbe hakuna lolote! MONOPOLY hii itaisha lini??? kwanini serikali haiwainvite makampuni mengine waje wafanye hii biashara ya umeme jamani??? yaani huduma za jamii ni bure kabisa! bora siye tunatumia maji ya visima hata sijui kulipia bili dawasco au kama kuna mvua zimenyesha au maji yamekatika lol: