Home
Unlabelled
mkakati wa kudhibiti mazalia ya mbu waanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi na wadau kuna hii mpya ambayo bado haijapenya kwa wengi. Ni hivi kuhusu Malaria Afrika au Tanzania tunajisumbua tu kwani wapo watu wanaendesha maisha yao kwa kukubali ugonjwa huo uendelee kuwapo nchini. Kuna wazungu walikuja nchini na dawa zao za kunyunyiza angani kwa Helkopta lakini ilikataliwa na wahusika. Hiyo dawa ilikuwa inaua kabisa mayai ya mbu hote nchini na utafiti uliwahi kufanyika huko Mahenge (kunakosemekana kuna mbu sugu) na hata kwa wale mbu wa kupandikizwa pale Muhimbili wote walikufa na mayai yao yote (waliwekwa mahabara). Wazungu hao walipotakiwa kuhalalisha madhara ya dawa hiyo walijieleza hadi wakailamba ili kuthibitisha kama aina madhara kwa wanadamu. Dawa hiyo ingekua inanyunyizwa angani na ndege au helkopta ili kuua makazi ya mbu kote nchini na hakika Malaria ingeisha nchini. Ajabu wazungu hao wakaambiwa eti wataje 'formula' ya kutengeza dawa hiyo jamaa wakachomoa maana walitaka kuchezewa chezo la mwaka. Jamaa ikabidi waondoke kimya kimya nchini na kurudi kwao. Sasa kuna maslahi yaliingia hasa kwa watengenezaji wa dawa za Malaria na vyandarua. Wadau wengine wenye data wanaweza kuzimwaga hapa. Muhimu hakuna mtu aliyemakini kuhakikisha Malaria inakwisha nchini. NAWASILISHA.
ReplyDelete