25/08/1955 – 23/11/2009
Ni mwaka mmoja sasa tangu ututoke tar.23/11/2009. Baba yetu mpendwa
MEJA PERFECT ANTHONY SHAYO.
Baba unakumbukwa sana na Mke wako Mrs. Mary P. Shayo. Watoto wako, Wajukuu zako, Ndugu jamaa na Marafiki.
Upendo, Ushirikiano na fadhila za kiroho na kimwili ulizotuachia havitasahaulika kamwe. Tunamshukukuru Mungu kwa kuwa ulituachia misingi Imara ambayo imetuwezesha kuwa pamoja katika Familia.
Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi. Amen
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa – Jina la Bwana lihimidiwe!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...