LEO katika mashindano ya baiskeli ya 'Vodacom Cycle Challenge', wakimbiaji zaidi ya 400 walichuana kuwania mataji yaliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yanayofanyika jijini Mwanza kwa wanaume kukimbia mbio za umbali wa kilomita 196 na wanawake kilomita 80.
Akizungumza na Waandishi wa habari jana, Ofisa Matukio na Udhamini wa Vodacom, Rukia Mtingwa alisema taratibu za mashindano hayo zimekamilika kwa kiasi kikubwa ambako taratibu za usalama zimekamilika sambamba na masuala mengine yanayohusu mashindano.
Mtingwa alisema wakazi wa maeneo zinapofanyika mbio hizo ambako wajitahadhari na ajali kutoka kwa wakimbiaji watakaoshiriki mashindano hayo.
Aidha mbali ya mashindano ya leo, katika mashindano ya walemavu yaliyofanyika jana, bingwa wa mwaka jana kwa alemavu wa kiume, Omar Matangajo wa Sengerema alinyakua kwa mara nyingine sh 400,000 baada ya kutumia dakika 42:48.02 ambaye alishiriki mbio za umbali wa Kilomita 15 wakati mshindi wa pili Sayuda Pigi alitumia dakika 44:03.33 ambaye alinyakua sh 250,000.
Kwa upande wa wanawake bingwa wa mwaka jana Hellena Mwendesha wa Igoma alinyakua kwa mara nyingine nafasi ya kwanza baada yakutumia dakika 40.27 na kupata sh 400,000 wa pili ni Elizabeth Kishiwa wa Igoma ambaye alitumia dakika 41.29 na unyakua sh 250,000 na wa tatu ilikwenda kwa Exaverina Exavery wa Isamilo alitumia dakika 46.02 na kunyakua sh 150,000.
Katika mashindano hayo walipata matatizo barabarani ni Emmanuel Matiku wa Isamilo ambaye alipata kizunguzungu akiwa mashindanoni na Shija Kidesheni wa Mbagala Dar es Salaam aliharibikiwa pedal zake mashindanoni.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Said Ally Amanzi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya leo ambako pia jana ndiye alikuwa mgeni rasmi akimwailisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Abbas Kandooro ambaye yuko bungeni Dodoma.
NayeKatibu Mkuu wa Chama cha Baiskeli Tanzania (CHABATA),Lado Haule alisea mikoa zaidi ya 15 imejitokeza kuwania taji la mashindano hayo ni wenyeji Mwanza, Arusha, Shinyanga, Dodoma, Morogoro, Pwani, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, Iringa,
Mshindi wa kwanza wa mashindano hayo kwa wanaume atazawadiwa sh 1500,000, wa pili atajitwalia sh 1000,000 wa tatu atazoa sh 700,000, mshindi wa ne hadi wa 10 kila mmoja atapata sh 500,000 na wa 11-30 kila mmoja atapata sh 250,000 na kuanzia wa 21 hadi 30 kila mmoja atapata sh 90,000.
Kwa upande wa wanawake mshindi atapata sh 1100,000 wa pili sh 800,000 wa tatu sh 600,000, wa nne hadi 10 kila mmoja atapata sh 350,000, wa 11-20 kila mmoja atazawadiwa sh 130,000 na kuanzia wa 21-30 kila mmoja atajitwalia sh 70,000.
Wadhamini wa mashindano hayo ni Knight Support kampuni ya vinywaji baridi ya Pepsi sambamba na Alphatel.

barabara hizo za juzi tu lakini zishaanza kuzeeka !!
ReplyDelete