Home
Unlabelled
mlegezo...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Its a generation where boys like to show off their arse hanging behind them or perhaps they are benddy sort of blokes.... shame on them
ReplyDeleteIt"s a Style Kama wewe Na MKANDA NJE...Ila Mlegezo Ulianishwa Na Wafungwa wa Kimarekani Kutokana Na Kwamba Uniform zao za Jela Zinakuwa Hazi-Fit na Hazina Mikanda...Ikawa Kila wakitoka Jela Wakija Mtaani wanakumbushia Mtindo Huo..
ReplyDeleteInatumika katika jela za kimarekani,kuonyesha kwamba You are somebodys wife.Vijana wetu wanaiga bila kujua maana yake,wakisemezwa wanataka kupigana.
ReplyDeleteAnon wa tarehe Mon Nv 08, 09:37:00 PM, You are right! Wafungwa hapa Amerika hawaruhusiwi kuvaa mikanda kwa sababau mkanda ni silaha!
ReplyDeleteLakini huko Brooklyn, NY, na Connecticut na sehemu nyingine ya kusini ya Amerika, mtindo huo umeanza kupigwa marufuku!
Hivi tutaacha lini haya ya "aping" kutoka kwa wenzetu eti kwa kuwa ni Ulaya/Amerika?
Huu mtindo ulianzia kwenye Jela za Kimarekani. Yaani wafungwa (wengi wao Weusi)walikuwa wanapewa Uniform Kubwa haziwatoshi halafu jela hawaruhusiwi mikanda basi ikawa wanapinga kwani suruali karibia zinadondoka. Sasa kuwaunga mkono wafungwa watu mtaani nao wakaanza kulegeza hizo sarawili zao kuonyesha mshikamano. Ila kule jela watu walikuwa wanafunga sarawili zao hata pembeni ili zitoshe, LAKINI wale wafungwa wengine ambao watoto SI RIZIKI wakawa waachia zaidi ili kujulisha kuwa wao wapo POA kwa kuruka UKUTA. kwa hiyo ndio hiyo historia fupi ya huu MLEGEZO. Juzi kuna Vijana wawili Hapa DAR, TANZANIA wamefungwa kwa kupiga MLEGEZO mahakamani. Kwa hiyo Vijana nawashauri kuachana kabisa na huu mtindo
ReplyDeletekaka acha kunana wewe !! una bana hadi kona !!
ReplyDeleteAsili yake ni jela za Marekani, hakuna mkanda, na nguo zao ni buggy, na wala si-ushoga...ni style ya 90's , ilitawala sana miaka ya 90 kutokana na marapa hapa Marekani, sasa hivi imeshapitwa na wakati.
ReplyDeletesasa nyie anonymous hapo juu tuamini la nani tuache la nani kuhusu historia ya milegezo
ReplyDeleteMlegezo sio style kama mkanda nje! huo ni mtindo wa wafungwa wa jela za kimarekani na maana yake ni kua wewe ni gay au mke wa mtu! ila wenzangu na mie tunaiga bila kujua maana yake. ukilegeza jinsi au suaruali yako maana yake ni kua uko available for pick-up.
ReplyDeleteNi fasheni tu ambayo vijana tumeiga kutoka kwenye video za hip hop. Ilipata umaarufu sana enzi za marehemu Tu Pac Shakur.
ReplyDeleteLabda swali kwako, kwanini Michuzi unapenda kuvaa suti na lebo zake? Hujui kwamba ni ushamba??
Asili ya wireless au nusu mlingoti ni jela za marekani ambako wafungwa hupewa mavazi yasiyowatosha na hivyo kujikuta mavazi hayo yanawakaa yamening'inia. Vijana wengi wanaigilizia tu kwa kukosa uvivu wa kufikiri na pia kwa kuzingatia kwamba nchi yetu haitoi sifa kwa kufikiri.
ReplyDeleteHii nistaili tu kama staili nyingine acheni ushamba,watu walivaa mabwanga kama wanafagia jiji,wengine walichoma nyele n.k,
ReplyDeleteMbona vijana wa sasa wanajikoboa si hatusemi, si wanawake si midume,
Tuacheni vijana wa 90` tujimwage,acheni ukabaila hu.
Mtindo huu ulibuniwa na mwaname aliye kua gay akijaribu kuweka maingo ya wanaume yawe sexy ili waweze kutamanisha,baada ya hapo ukawa popular hata kwa wanaume ambao sio magay , kwa sasa kuvaa mlegezo haina mana ni gay ingawainaweza kuwa ni njia yakuwatamanisha wanaume wengine.
ReplyDeleteMfano pia tunaona kwenye magauni ya kike , mipasuo , mini , kuacha vifua wazi kuonyesha sehemu kubwa ya maziwa yote hayo yalibuniwa na wanaume ili kuweza kumwangalai mwanamek maeneo yanayo tamanasha na mwisho ikawa kama fashion tuu.
Michuzi hyo staili ni "Kata-K"
ReplyDeleteAnkal;
ReplyDeleteNiliwahi kuligusia suala hili katika blogu yangu hapa:
http://matondo.blogspot.com/2010/10/nataka-kuwa-bongo-fleva.html
Pengine ni sawa kwa vijana kuiga kwani huu ndiyo wakati wao. Kila kizazi kina mambo yake ati!
WALIOSEMA KUWA INA UHUSIANO NA U-GAY WAKO SAWA, HAWAJAKOSEA.NA ASILI YAKE NI JELA ZA MAREKANI.
ReplyDeleteTupige vita kila style iliyoanzishwa marekani/ulaya.Vipi juu ya wanaume wanaosuka, wanaovaa hereni,mikufu na vitambaa kichwani?Navyo tuvipe nafasi ya kuvipiga vita.Nakumbuka zamani wanaume walipoanza kuvaa mikufu,hereni na kusuka watu walikuwa wanasema inaashiria kuwa wao ni magay.Sasa hivi hakuna mtu anayejali hayo.Vipi na wadada wanaovaa kikuku?
ReplyDeletePants on the Ground
ReplyDeletePants on the Ground
Lookin' like a fool
With your pants on the Ground
With the gold in your mouth
Hat turned sideways
Pants hit the ground
Call yourself a cool cat
With your pants on the ground
Walkin' downtown with your pants on the ground!
Giddy-up
Hey! Get your pants off the ground!
Lookin like a fool!
Walkin' talkin' with your pants on the ground!
Hey! Get your pants off the ground!
Lookin' like a fool
With your pants on the Ground
With the gold in your mouth
Hat turned sideways
Call yourself a cool cat
Pants on the ground! Walkin' talkin' with your pants on the ground!
Hey! Get your pants off the ground!
Lookin' like a fool
With your pants on the Ground
With the gold in your mouth
Hat turned sideways
Call yourself a cool cat
Pants on the ground!
Hao ni "watoto wa watu" kwa tafsiri nyepesi. huenda wna biashara wanatangazia sasa bila kuiona huwezi kufika bei.
ReplyDeleteKuiga huku kubaya mno na namshukuru mheshimiwa hakimu wa mahakama kinondoni kawatia adabu vijana wawili waliovaa mlegezo na kuwahifadhi mahabusu kwa siku 14 ili wakitoka watie akili.
Mimi nasema ni UPUUZI
1. WATU WAMEIGA MLEGEZO KWA KUWA UMEVALIWA KAMA FASHION, bila ya kujuwa maana yake halisi.
ReplyDelete2. Watu SERIOUS katika SERIOUS BUSINESS HAWAVAI MILEGEZO.
3. Ni Wiki Jana tu, kuna hakimu aliwatwanga Vijana Wawili kwenda mahakamani kumtolea Ndugu yao Dhamana 14 Days Kwa kuva mlegezo.
4. Kama Biashara ni matangazo, na watu wanajitumia kama Bill Board, tufanye nini? Uhuru ni wao,
That nasty!! vijana hapa Marekani wanakera sana, chupi yote iko nje hata kama ni boxer ni chupi tu, halafu anakaa kwenye viti restaurant au mcdonald. hakuna sanitation kabisa hapo. Upuuuzi mtupu. Mwanangu nimempiga marufuku.
ReplyDeleteANONYMOUS WA 04.18AM TOP CLASS, THEY LOOK LIKE FOOLS, PAKA WAVIVU HAO, MPAKA WAPANUE MIGUU KUTEMBEA!! SHAME ON THEM ITS DISGUSTING. AHH KWA NINI LAKINI? I AM VERY ANGRY, NISIJEONGEA JAMBO BAYA HAPA.
ReplyDeleteVijana wa late sixtys na early seventys walivaa hivyo Tanu ikapiga marufuku halafu chini unavaa mkuki moyoni
ReplyDeleteUshamba
ReplyDeletewewe anony wa Tarehe Tue Nov 09, 07:35:00 AM
ReplyDeleteNafikiri umetindikiwa ubongo, nyani mzee wewe! sanitation maaanake nini? Mwache mtoto aende na wakati.
Msonyoooooo!
Subi
Enzi za late 80's, watoto wawili huko Marekani walikuja na rap ambayo waliivalia mtindo wa nguo waliouita KRIS/KROS! Mtindo huo uliwavutia vijana wadogo ambao walikuwa wanavaa shati/suruali mbele nyuma. Baadaye ndipo mwaka uliofuatia; wakaanza kuvaa suruali za mlegezo. Nakumbuka nilimlazimisha mtoto wangu aende chooni akajisaidie kwani uvaaji wa suruali ya mlegezo mimi sikuuelewa!!!!! Hapo ndipo aliponieleza kuwa hiyo ni style mpya ambayo inaitwa KRIS/KROS. Nilimwambia hiyo style asiivae tena, na kwa bahati nzuri alinisikiliza na kukubaliana nami.
ReplyDeleteThis model was commenced in the U.S. Jail. Ie prisoners (mostly black) were given a Uniform Great ziwatoshi then jail are not allowed belts then be opposed for almost zinadondoka pants. Now supporting local people and the prisoners began to loosen their sarawili the show solidarity. Only the people in jail were fasting even peripheral to their sarawili zitoshe, but those prisoners who have children living SI Chia became the most to inform that they are cool by jumping walls. So is the short history of this MLEGEZO. Recently there are two youngsters Here DAR, TANZANIA MLEGEZO bound for hitting the court. So Young nawashauri completely abandon this model
ReplyDeleteListen
Read phonetically
Dictionary - View detailed dictionary
kuna watu wana mawazo finyu kweli,oohh eti ni ma gay ndio maana wanavaa mlegezo kutangaza biashara.Mtu akivaa mlegezo anavaa boxer na pensi kwa ndani.Otherwise anaweza vaa hard material boxer kwa ndani,tena unavalia kiunoni alafu trauser unapiga kata k. ni wachache sana wanaovaa kata k na chupi au boxer nyepesi kwa ndani bila kuvaa pensi hawa labda ndo wanaotangaza biashara.overall huwezi sema kuvaa kata k ni ushoga,ila ni staili kma zilivyo staili nyingine za mavazi
ReplyDeleteMadude, we kweli ni mbishi, yaani pamoja na watu kukueleza sababu na historia nzima bado hukubali tu?
ReplyDeleteDu, wabongo kazi kwelikweli
Acha wajinga wavae; hata kama wakifungia suruali zao magotini!
ReplyDeleteTuna mengi ya kufanya zaidi ya hayo ya suruali...nakumbuka miaka kumalizia muongo wa 1960 kulikuwepo na staili ya srauali za "mitepesho"!
Ziliishia wapi...?
Jamani mbona mnataja tuu jela za marekani kwani za kibongo vipi wanaavaa kanga au .. acheni mambo ya ushoga kufuatilia watu wanavaaaje .. fanyeni mambo yenu
ReplyDeleteHao wanaosema kuvaa mlegezo ni ushoga wao ndio mashoga kufatilia maisha ya watu kuvaa mlegezo it's just a fashion mbona wazee sasa hv hawavai fashion zao za zamani wanaenda na wakati nao?
ReplyDeleteLeave the youngfolks alone....Ni FASHION. Kwanza hao wanaowaangalia wenzao kwa nyuma wanatafuta nini? You want that ass?? turn your head away from it....mind your own business. Kuna mambo mengi ya kujali kuliko Mkanda mlegezo.
ReplyDelete