Nilikuwa nataka kujua kama zipo website za agencies wa ajira (recruitment agebcies) wa kuaminika nchini tanzania. Natafuta agencies zilizopo tanzania ambazo naweza kuweka cv yangu pamoja na kutafuta kazi kupitia websites zao.
Ikiwa kuna yeyote anajua agency za uhakika hapo nyumbani (sio wababaishaji) naomba anipatie anuani zao kupitia kwenye blog yako au direct kwenye email yangu simaibalozi@hotmail.com
Natanguliza shukurani
Mdau Simai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. http://www.radarrecruitment.com

    www.linkedin.com, nyingine labda kama kuna watu wanajua,

    All the BEst , karibu Bongo

    ReplyDelete
  2. mdau ingia kwenye mtandao wa hawa jamaa, ni wa uhakika na utapata maelezo yote unayotaka, ni wa muda mrefu na wa uhakika, kazi ni ufuatiliaji wako tu

    www.radarrecruitment.com

    all the best

    ReplyDelete
  3. Kijana Usihangaike sana hebu ingia google alafu type Radar recruitment agency utakuwa umefika utakapo.

    Nadhani hapo suala lako litashungulikiwa.

    Mpambe.

    ReplyDelete
  4. www.radarrectruitment.com

    Ni wazuri sana. You can upload your CV online kwa kuingia kwenye hiyo website yao.

    Kila la kheri.

    ReplyDelete
  5. www.radarrecruitment.com

    ReplyDelete
  6. Naona Radar Recruitment wanajitangaza kwa aina yake!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Simai tuma CV yako kwa radarrecruitment..hawa ni wakali wa ajira..wengine ni delloitte & touche na wengine ni kpmg pietmarwick..watafute kwa worldwideweb utawapata..kila la kheri mtanzania unayejivunia kwenu unayetaka kurudi nyumbani

    ReplyDelete
  8. Yap radar is the best, but you can visit this website too www.pataajira.com which provide web links to various website which announce job vacancies in TZ.

    ReplyDelete
  9. asanteni wadau tupo wengi wenye matatizo kama ya huyo jamaa...ila hatujui tuanzie wapi...nyumbani kutamu.. maisha ya ulaya yanachosha kimtindo..shukrani wadau

    ReplyDelete
  10. Thanks for whomever asked this and to all who took their time to replied. This is really what I wanted....I really want to go back home but first I need a J.O.B...Nisije nikaumbuka vipound vikiisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...