Nilikuwa nataka kujua kama zipo website za agencies wa ajira (recruitment agebcies) wa kuaminika nchini tanzania. Natafuta agencies zilizopo tanzania ambazo naweza kuweka cv yangu pamoja na kutafuta kazi kupitia websites zao.
Ikiwa kuna yeyote anajua agency za uhakika hapo nyumbani (sio wababaishaji) naomba anipatie anuani zao kupitia kwenye blog yako au direct kwenye email yangu simaibalozi@hotmail.com
Natanguliza shukurani
Mdau Simai
Natanguliza shukurani
Mdau Simai
http://www.radarrecruitment.com
ReplyDeletewww.linkedin.com, nyingine labda kama kuna watu wanajua,
All the BEst , karibu Bongo
mdau ingia kwenye mtandao wa hawa jamaa, ni wa uhakika na utapata maelezo yote unayotaka, ni wa muda mrefu na wa uhakika, kazi ni ufuatiliaji wako tu
ReplyDeletewww.radarrecruitment.com
all the best
Kijana Usihangaike sana hebu ingia google alafu type Radar recruitment agency utakuwa umefika utakapo.
ReplyDeleteNadhani hapo suala lako litashungulikiwa.
Mpambe.
www.radarrectruitment.com
ReplyDeleteNi wazuri sana. You can upload your CV online kwa kuingia kwenye hiyo website yao.
Kila la kheri.
www.radarrecruitment.com
ReplyDeleteNaona Radar Recruitment wanajitangaza kwa aina yake!!!!!!!!
ReplyDeleteSimai tuma CV yako kwa radarrecruitment..hawa ni wakali wa ajira..wengine ni delloitte & touche na wengine ni kpmg pietmarwick..watafute kwa worldwideweb utawapata..kila la kheri mtanzania unayejivunia kwenu unayetaka kurudi nyumbani
ReplyDeleteYap radar is the best, but you can visit this website too www.pataajira.com which provide web links to various website which announce job vacancies in TZ.
ReplyDeleteasanteni wadau tupo wengi wenye matatizo kama ya huyo jamaa...ila hatujui tuanzie wapi...nyumbani kutamu.. maisha ya ulaya yanachosha kimtindo..shukrani wadau
ReplyDeleteThanks for whomever asked this and to all who took their time to replied. This is really what I wanted....I really want to go back home but first I need a J.O.B...Nisije nikaumbuka vipound vikiisha
ReplyDelete