Balozi wetu Canada Mh. Alex C. Massinda akiwa na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa Ottawa mara baada ya mkutano wao uliozungumzia masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwaleta pamoja Watanzania waishio Ottawa kwa shughuli mbalimbali za kijamii na maendeleo. Toka shoto ni Humphery Rutagemwa Katibu Msaidizi wa Jumuiya ya Watanzania Ottawa, John Kalonga Mjumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watanzania, Grace Mwakyambiki Mjumbe wa Bodi, Mhe. Balozi Alex Massinda, Dr Zakaria Mandara Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania na Brent Lushaka Mweka Hazina wa Jumuiya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. jamani huko ottawa sikukuu ya uhuru wa tanganyika niaje? tunataka tuje kushangweka.
    wadauz, beautiful british columbia

    ReplyDelete
  2. Byabagambi Kinyaryana KalikumtimaDecember 05, 2010

    Humphrey, naona hutaki kuachana na miwani yako. Nakumbuka pale Ilboru ulikuwa unalala ukiwa umevaa miwani siku moja ukaivunja wakati uko usingizini!! Hahaha...

    ReplyDelete
  3. Dr. Humphrey Rutagemwa usiache miwani maana ndio jembe lako ilo. Nimekugoogle kwenye mtandao naona bado unashusha nondo kali kama enzi zile za Ilburu na Mlimani!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...