Model: Benz of 2002,
A Class,
Year of entry to Tz: 2010 November,
Price is 13m/- and negotiable.
Middle men discouraged...
Serious buyers Pse call
+255655273332.
.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. hivi mimi mada yangu iko pembeni kidogo , je kama dalali ni mwanamke utasemaje muuza gari ? yaani hapo middlemen hatakiwi je akiwa mwanamke ?

    ReplyDelete
  2. Hii ni gari au bajaji? Naomba majibu.

    ReplyDelete
  3. Wakati mwingine tafsiri sio lazima iwe onto to onto function. Je, ukisema Hi guys unataka niamini kwamba hapo ninazungumza na wanaume tu?

    ReplyDelete
  4. Haahaaaa Mungu niokoe mbavu zangu......huna mana kabisa mdau wa kwanza.

    ReplyDelete
  5. TZ bana.. sasa hizo number wow BKN c waseme tu... BiKiN ....

    ReplyDelete
  6. Missing in Translation. Middleman=mwanamume wa kati. hahahahahahaha.kazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  7. Kusema "middlemen" haina maana tu ya wanaume. Usitafsiri neno kwa maana ya kwenye kamusi kila wakati. Wataalamu wa Isimu (Linguistics) wanajua kwamba maana zipo katika ngazi tofauti. Maana ya awali ya "men" ni wanaume. Lakini ya pili inaweza kuwa "watu". Mfano maneno yanye tafsiri ya namna hiyo kihistoria ni kama:
    Man, chairman, manpower, mankind, guys, boy, etc kuwakilisha jinsia zote.

    Na Kiswahili kipo hivohivo, mtu unaweza "asante bwana"....kwa mwanamke. Wakati huo humaanishi bwana kama mwanaume. Unachukulia 'bwana' kama rafiki, ndugu, mpendwa, mdogo wangu, mkubwa wangu, jamaa yangu.... etc.

    Wazungu wanasalimiana bila kujali jinsia kwa mfano, utasikia "Hi guys", etc.

    Au wanawake wawili wakizungumza, kuonesha mshangao, au kihisishi, mmoja atasema "Oh boy, that was so hard!"

    ReplyDelete
  8. Anonym. wa kwanza, kama ni mwanamke huitwa CENTRE LADY!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. Hili gari umepewa juzi kwenye shindano la shinda mkoko, mara hii ushaanza kulipiga mnada?

    ReplyDelete
  10. Mtoa maoni wa kwanza, tatizo la "Middleman" ni haipishani sana na "Layman" (mjinga). Yote haya yalitokana na mifumo dume ambayo imedumu kwa karne nyingi sana, mfumo wa wamaume kujipendelea kwa kila kitu. Tumejipendelea hadi ujinga, yaani 'Layman'. Kwani ushawahi kusikia 'Laywoman'?

    ReplyDelete
  11. Mchangiaji wa mwisho, uliyesema "layman" maana yake mjinga, ni kwa kiasi kidogo sana ina ukweli, japo maana yake inaelekea huko. Layman inatokana na historia ya kanisa la Kikristo, kumaanisha mtu ambaye hana daraja la mfano kufanya shughuli kama za kutoa mafundisho rasmi, kutoa mfano ubatizo, sakramenti, na kutokuwa na daraja rasmi linaloendana na kazi hiyo kwa kusomea au kupatia mafunzo rasmi. Ndiyo maana unasikia kuna baraza la Walei, mfano. Haina maaba baraza la wajinga. Maanayake ni kwamba baraza la wanakanisa wasiokuwa mfano maaskofu, au makasisi.

    Maana hiyo ikatafsririwa pia kwenye taalauma fulani, mfano mtu asiyesoma shule anaweza kutoa tafsiri nzuri sana ya kitu fulani, lakini sababu haihusishi taaluma au maarifa yake yahatokani na taaluma fulani, anakuwa "layman" (non member of a professional group).

    ReplyDelete
  12. eeh wajameni sasa hizi millioni 13 nitaiba hela za miradi kiasi gani mpaka niafodi...ngoja nijipigie boxi langu tu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...