Home
Unlabelled
CAR FOR SALE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi mimi mada yangu iko pembeni kidogo , je kama dalali ni mwanamke utasemaje muuza gari ? yaani hapo middlemen hatakiwi je akiwa mwanamke ?
ReplyDeleteHii ni gari au bajaji? Naomba majibu.
ReplyDeleteWakati mwingine tafsiri sio lazima iwe onto to onto function. Je, ukisema Hi guys unataka niamini kwamba hapo ninazungumza na wanaume tu?
ReplyDeleteHaahaaaa Mungu niokoe mbavu zangu......huna mana kabisa mdau wa kwanza.
ReplyDeleteTZ bana.. sasa hizo number wow BKN c waseme tu... BiKiN ....
ReplyDeleteMissing in Translation. Middleman=mwanamume wa kati. hahahahahahaha.kazi kweli kweli.
ReplyDeleteKusema "middlemen" haina maana tu ya wanaume. Usitafsiri neno kwa maana ya kwenye kamusi kila wakati. Wataalamu wa Isimu (Linguistics) wanajua kwamba maana zipo katika ngazi tofauti. Maana ya awali ya "men" ni wanaume. Lakini ya pili inaweza kuwa "watu". Mfano maneno yanye tafsiri ya namna hiyo kihistoria ni kama:
ReplyDeleteMan, chairman, manpower, mankind, guys, boy, etc kuwakilisha jinsia zote.
Na Kiswahili kipo hivohivo, mtu unaweza "asante bwana"....kwa mwanamke. Wakati huo humaanishi bwana kama mwanaume. Unachukulia 'bwana' kama rafiki, ndugu, mpendwa, mdogo wangu, mkubwa wangu, jamaa yangu.... etc.
Wazungu wanasalimiana bila kujali jinsia kwa mfano, utasikia "Hi guys", etc.
Au wanawake wawili wakizungumza, kuonesha mshangao, au kihisishi, mmoja atasema "Oh boy, that was so hard!"
Anonym. wa kwanza, kama ni mwanamke huitwa CENTRE LADY!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHili gari umepewa juzi kwenye shindano la shinda mkoko, mara hii ushaanza kulipiga mnada?
ReplyDeleteMtoa maoni wa kwanza, tatizo la "Middleman" ni haipishani sana na "Layman" (mjinga). Yote haya yalitokana na mifumo dume ambayo imedumu kwa karne nyingi sana, mfumo wa wamaume kujipendelea kwa kila kitu. Tumejipendelea hadi ujinga, yaani 'Layman'. Kwani ushawahi kusikia 'Laywoman'?
ReplyDeleteMchangiaji wa mwisho, uliyesema "layman" maana yake mjinga, ni kwa kiasi kidogo sana ina ukweli, japo maana yake inaelekea huko. Layman inatokana na historia ya kanisa la Kikristo, kumaanisha mtu ambaye hana daraja la mfano kufanya shughuli kama za kutoa mafundisho rasmi, kutoa mfano ubatizo, sakramenti, na kutokuwa na daraja rasmi linaloendana na kazi hiyo kwa kusomea au kupatia mafunzo rasmi. Ndiyo maana unasikia kuna baraza la Walei, mfano. Haina maaba baraza la wajinga. Maanayake ni kwamba baraza la wanakanisa wasiokuwa mfano maaskofu, au makasisi.
ReplyDeleteMaana hiyo ikatafsririwa pia kwenye taalauma fulani, mfano mtu asiyesoma shule anaweza kutoa tafsiri nzuri sana ya kitu fulani, lakini sababu haihusishi taaluma au maarifa yake yahatokani na taaluma fulani, anakuwa "layman" (non member of a professional group).
eeh wajameni sasa hizi millioni 13 nitaiba hela za miradi kiasi gani mpaka niafodi...ngoja nijipigie boxi langu tu...
ReplyDelete