Kiswahili chaenezwa South Korea na Manhattan, New York kupitia Gracias Choir

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. how wonderful....beutiful done

    ReplyDelete
  2. lovely..oh my dear

    ReplyDelete
  3. ooh, lovely..wanapendeza. safi sana

    ReplyDelete
  4. lovely. safi sana

    ReplyDelete
  5. well well done

    ReplyDelete
  6. I love the song, not be because it is sung by this batch of Japanese Swahili singers, but because some twenty five years a go, I used to sing the song when I was in a youth choir. However, the most intriguing thing for me is how longer this version has been sung by these Japanese enough to believe that they speak Kiswahili language as for those who believe Swahili is not spreading in Japan? I have heard this song many times in the past two years. May be the difference is that the latest version seems to have been improved compared to the original ones, previously posted on some networks. Trust me you can sing any song, I mean any song and be heard, understood and be praised even if you aren’t a native speaker of the language of your song. I understand singing is a one way of learning, but I m ritually pessimistic if these Japanese can make a longer conversation in Swahili. chao

    ReplyDelete
  7. kwenda zako hapo Anoni juu, sasa wewe tatizo lako ni nini? kama wameweza kusema hayo machache yanatosha sana.Na wewe imba basi kwa ki-japan na sisi tuwe na hiyo pessimistic ya wewe kuongea zaidi kwa kijapan. wape sifa waimeimba vizuri.

    ReplyDelete
  8. Safi sana, kumkomesha aliyopo juu hapo.. Mr Pessimistic.

    People are so negative nowadays, am so happy wajapan wanapenda sana kiswahili. Wameimba vizuri sana

    But i think this chaps are koreans

    ReplyDelete
  9. hii inaonyesha jinsi gani bado tumelala mimi nimewai kusikia mara nyingi sana huu mwisho ukiibwa kwa kishwahili na washwahili lakini hakuna hata siku moja waliwai kuimba vizuri kama hivi nadhani watanzania ninatakiwa kuwa serious sasa

    ReplyDelete
  10. A verg good rendition. Listening to this song evoked a lot of emotions in me.

    ReplyDelete
  11. Just assume these were typical black-Tanzanian choir singing same song in Korean [ebu weka taswira kuwa hawa wangekuwa watanzania alafu wanaimba nyimbo hii hii kwa lugha ya Kikorea] alexbura

    ReplyDelete
  12. God bless these beautiful creatures. Wabongo mtabaki na majungu na uhuni2

    ReplyDelete
  13. What a heart warming rendition!

    ReplyDelete
  14. imetulia sana mi sio mtu wa kwaya lakini hii imenitach yani watu wanaimba kwa hisia na kwa umakini na mapangilio daah safi kwelli. na ndo hapo maneno machache tu wameimba na kuyapangilia vizuri je wakiimba kama rose mhando full nyimbo si itakuwa balaaa


    yabinty

    ReplyDelete
  15. watanzania huwa tunashindwa kutofautisha wajapan, wakorea, na wachina...hawa ni wakorea kwa kweli wameimba vizuri na smiles zao zinapendeza hii inathibitisha kuwa binadamu wote ni sawa mbele za mungu...

    ReplyDelete
  16. Haleluia. Mungu ni wa watu wote, makabila yote, rangi zote, lugha zote, dini zote. These people have made my day. Praise the Lord! Michuzi asante kwa hii posting zikufikie wewe au yeyote aliyei-post.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...