Kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Bukoba Bw. mAlphonce Mwakebesa akiongea mara bada ya kukabidhi vifaa mbalimbali vilivyotolewa na benki ya NBC kwa walemavu wanaounda kikundi cha BUDAP.
Elizeus Banyenza, meneja wa NBC tawi la Bukoba akimkabidhi Bw. Temistokres Revelian meneja wa kikundi cha walemavu cha BUDAP kinachoratibiwa na kampuni ya utalii ya Kiroyera baada ya kikundi hicho kukabidhiwa msaada wa vifaa mbalimbali vya kuwaendeleza walemavu vyenye thamani ya zaidi ya ya shilingi milioni 3 uliotolewa na benki hiyo. Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii, Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. habari za kazi uncle!mi naomba hao wanao tengeneza baycle za walemavu waweke taa maana usiku inakua taabu na walemavu wengi wanagongwa au wahamasishwe wavae lefecta nyakati za usiku

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...