Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akisikiliza maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa Dodoma kutoka Maafisa wa Bunge pamoja na wakandarasi kutoka Wakala wa Ujenzi (TBA). Kulia kwake ni Afisa Tawala wa Bunge, Athumani Kwikima
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akisikiliza maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa Dodoma kutoka mtunza vifaa wa kampuni inayosimamia ujenzi huo mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akielekeza jambo mara baada ya kutembelea maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa Dodoma jana. walioambatana nae ni maafisa toka Ofisi ya Bunge, wakala wa Ujenzi na wakandarasi wa Kampuni inayojenga jengo hilo.
Jengo la Makazi ya Spika linavyoonekana kwa sasa.(Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hii kweli ilikuwa ya mzee wa speed na standards. Pole hataweza kupakaa. Aalikwe lunch!

    ReplyDelete
  2. Natumaini hatutaambiwa zimetumika Bil 2 kwa ujenzi kama zile za BOT. Hivi hizi swimming pool hujengwa kwa ajili ya nani? Mama Makinda anajua kuogelea? Je Benno Ndulu? na kwa umri wao, hata watoto wao wanastahili kuwa walishaondoka nyumbani na kwenda kujitegemea!

    ReplyDelete
  3. swimming pool imejengwa kwa ajili ya wageni kama siku ANKO MICHUZI akienda kumtembelea anajivinjari hapo.

    ReplyDelete
  4. Abiola Jr. New Albany OhioDecember 27, 2010

    wasanii wa ze comedy na bi. kidude wakimtembelea madame spika wataogelea japo kidogo kupunguza jasho la dsm na zenji

    ReplyDelete
  5. UCHUMI NDIO HUO ,

    ReplyDelete
  6. Mkumbusheni spika avae kofia asije kudondokewa na kitu.

    ReplyDelete
  7. mheshimiwa spika usalama kwanza kuliko kujali nywele...Head Gear for your safety.

    ReplyDelete
  8. Je spika wa zamani alikua hana nyumba ya kuishi?

    ReplyDelete
  9. inaelekea kina mama wanapenda sana unywele akivaa kofia inabidi arudi tena saloon

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...