A woman from nanihii is sitting in a bar in Harare with two guys beside her.
The first guy says to the barman, "Johnnie Walker. Single."
And the second blurts "Jack Daniels. single."
At that, the bartender approaches the lady and asks,"And you ma'am?"
" Asha Selemani , married."

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Ha ha haaaaaa! Asha Selemani weeee!

    ReplyDelete
  2. Nini ujumbe hapa!?mawazo ya kikoloni!

    ReplyDelete
  3. Aisee hii kali kweli, yaani nimecheka sana.

    ReplyDelete
  4. mmmh huyo asha selemani atakuwa mtanzania bila ya shaka

    ReplyDelete
  5. kwanini usiandike jina la kikristo..unamaanisha nini kuwa waislam ndiyo mambumbumbu..acheni hizo..najuwa wengi itawagusa..!

    ReplyDelete
  6. rubbish!!!

    ReplyDelete
  7. hapa kama mtu hakucheka ndio anastahili amuone daktari

    ReplyDelete
  8. hahahaaaaaaa nimecheka sana. hapa ujumbe ni kukosa exposure (kuto jua mambo)

    ReplyDelete
  9. Mwaipopo hapo umesema kweli kama mtu haipati hii joke basi akamuone daktari.
    Kuna mwenda wazimu mmoja mpaka dini kaiingiza, duuh!yaani kuna watu inferiority complex mwendo wa mbele, kama ingekuwa wa dini hiyo ni mambumbumbu yaani hata kuitaja dini hiyo naogopa, then nchi yetu kweli raisi, makamu, sijui jaji mkuu na wengi tu wangetoka dini hiyo?

    ReplyDelete
  10. kweli udini unashamili sasa... hata kwa hili!? aah.. acheni hizo jamani!!

    ReplyDelete
  11. unaweza kucheka kama ni mara ya kwanza kuickia joke kama hiyo.lkn baada ya hapo utakapockia tena joke kama hiyo cdhani kama uta-LOL.labda hiyo ni sbb ya baadhi ya hao wengine kuongea walichoongea.
    ila kuna jokes kibao ambazo unaweza kuzickia hata 100X a day still ukacheka hadi meno yakaanguka.
    anyways,its kinda funny lkn has nothin to do na udini kama huyo mwingine anayelialia hapa.me ni muslim na sioni tatizo kwa yeye kutumia jina la Asha Selemani.ina maana ulitaka walau mixer kama vile Maria Selemani?hahaha

    ReplyDelete
  12. Ofcoz kwa hilo jina la kiislam lazima asielewe kama wengine walitaja pombe coz kwake ni haramu..unaweza hisi unachekesha but the moral of the kichekesho sijakiona,mbona wazungu wakichemka kwa kutokuekewa kiswahili hamcheki? Huku ni kujidharau..grow up na jitambue! Kwa waliozani huyo mwanamke ni mswahili y? Wakati jina lake ni la kiarabu? Au hamjawahi msikia nabii selemani? Na bi Asha je?

    ReplyDelete
  13. bado..inawuma wengi kikwa joke au kweli..wewe unaesema ni muislam ni kama hao wengine..kuna waislam jina..na wenye imani thabiti ambayo hawataki uislam wao ufanywe joke..kweti sis majina hayo ni makuu na moja kwa moja yanmlenga muislam..tumieni majina yenu kama ni vichekesho..huyu c wa kwanza yapo matangazo mengi ambayo yanahusu kudharau majina yetu mazyri kiislam..kama tangazo la simu ya maimuna..iweje ni majina ya kiislam tu? lazima tujiulize..!udini mnauanzisha wenyewe nasi tunafuata kwa kupinga..mtake msitake msg sent..!

    ReplyDelete
  14. kweli kuna hisia za kidini humo, mwandishi angeweza kufikisha utani wake bila kuwakera wafuasi wa dini fulani.. angeweza tumia jina la kitamaduni ambalo halihusiki na upande wowote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...