Msanii mahiri katika miondoko ya hip hop hapa bongo,Joe Makini akiwatumbuiza wakazi wa Iringa jioni hii kwenye uwanja wa Samora.
Pichani ni wakazi wa mji wa Iringa waliojitokeza kwa wingi kutoka vitongoji mbalimbali na kufika kwenye uwanja wa Samora jioni ya leo ambako tamasha la Msimu wa raha kamili na Serengeti limefanyika,likiwahusisha wasanii mbambali wa muziki wa kizazi kipya.Kwa picha zaidi ya tukio hili Bofya Hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi Mr. Joe makini anafahamu maana ya kuvaa suruali namnaile...(chupi nje) au Sagging pants...kama wanavyoita waMarekani wenyewe....??? Kama angejua staili ile imetokea wapi...asingevaa ... lakini kama ni kuwaiga waMarekani....basi sawa...!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...