Msanii mahiri katika miondoko ya hip hop hapa bongo,Joe Makini akiwatumbuiza wakazi wa Iringa jioni hii kwenye uwanja wa Samora.
Pichani ni wakazi wa mji wa Iringa waliojitokeza kwa wingi kutoka vitongoji mbalimbali na kufika kwenye uwanja wa Samora jioni ya leo ambako tamasha la Msimu wa raha kamili na Serengeti limefanyika,likiwahusisha wasanii mbambali wa muziki wa kizazi kipya.Kwa picha zaidi ya tukio hili Bofya Hapa.

Hivi Mr. Joe makini anafahamu maana ya kuvaa suruali namnaile...(chupi nje) au Sagging pants...kama wanavyoita waMarekani wenyewe....??? Kama angejua staili ile imetokea wapi...asingevaa ... lakini kama ni kuwaiga waMarekani....basi sawa...!!!
ReplyDelete