Msanii anaekuja kwa kasi katika anga ya muziki wa kizazi kipya a.k.a bongofleva aitwaye Sam akiwatumbuiza wakazi wa Tunduma na wimbo wake wa Sina raha jioni ya leo kwenye uwanja wa mwaka.
Pichani ni wasanii Mwasiti pamoja na Quick Racka wakilishambulia jukwaa mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa Tunduma jioni ya leo kwenye tamasha la Msimu wa raha kamili na serengeti
Baadhi ya wakazi wa mji wa Tunduma,Mkoani Mbeya wamejitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Msimu wa raha kamili na Serengeti lililofanyika jioni ya leo katika uwanja wa Mwaka.Tamasha hilo lilipambwa na wasanii kibao akiwemo Linux,Amin,Barnaba,Lina,Quickracka,Godzilla,Mwasiti,Ditto,Beka Boy na wengineo,Tamasha hilo litafanyika kesho mchana kwenye uwanja wa mpira wa miguu wa Sokoine kwa kiiingilio cha shilingini 1,000/= kwa kila kichwa.picha zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbona watoto wadogo tu utafikir mikutano ya CHADEMA?

    ReplyDelete
  2. tutajenga kweli kila simu matamasha ya music ?


    mdau paris

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...