
Wafanyakazi wa kike wa Benki Kuu Ya Tanzania tunatoa pongezi za dhati kwa mfanyakazi mwenzetu Florence Kazimoto kwa kupata mkwe "SONNY" na tunawatakia maharusi maisha kila la kheri katika maisha yao mapya.

Maharusi na wazazi baada ya kumeremeta
katika kanisa la mtakatifu Imaculata jijini Dar

Maharusi na ndugu baada ya kumeremeta
YAANI HAPO MAISHA BORA KWA MAISHA BORA
ReplyDeleteHongera sana mama Tona (Flo) apendalo Mungu huwa! May the BrideGroom be blessed.
ReplyDeleteBaby Tona Hongera sana,
ReplyDeleteTona hongera
ReplyDeleteTona hongera
ReplyDeleteTona, hongera
ReplyDeleteTona umekuwa,hongera kwa kupata mume na mtoto.flora hongera kwa kupata mkwe na mjukuu
ReplyDeleteHongera sana mama T. Mungu yu mwema bila kumsahau Uncle Jovin Big Up. Tona asante sana kwa kutupa heshima hii halafu uongo Sonny HB flan shule kote inaeleweka sasa nyie wengine mtajiju. Jamani wenye viziba vya roho waumie lakini S & T MKO JUU.
ReplyDeleteHAO WAFANYAKAZI WANAWAKE WA BENKI KUU MBONA WANAUBAGUZI."ETU CC WAFANYAKAZI WANAWAKE WA BENKI KUU" MBONA MIMI NAWAFAHAMU BENKI HAWANA UBAGUZI NA NAFIKILI HIYO MESSG IMEKOSEWA KWA BAHATI MBAYA, KWANI INATAKIWA KUSOMEKA HIVI" SISI WAFANYAKAZI WA BENKI KUU" BILA KUEKA JINSIA.NA HUYO MJUKUU KAPATIKANA HARAKA HARAKA AU ALIKUWEPO.
ReplyDeleteJOUNE KINYAMANA NSANGALUFU
Flora na Tona hongera sana.
ReplyDeleteDa Flora Hongera sana.... Mungu akuzidishie kila la kheir na akubariki..... I really appreciate you for you kindness..... you are such a LOVELY woman I ever met. Tona....just like ur mom..... Big up my girl..... UPENDO na UKARIMU usitoke MOYONI na USONI mwako.... Mungu akupe FURAHA DAIMA..... Aunt WARDA.
ReplyDeleteHabari napenda kuchukua nafasi hii kutoa pongezi zangu kwa TONA na SONNY kwa uwamuzi wao mzuri wa kufunga pingu za maisha, nawatakia kila lilo kheri kwao na familia yao mpya. Mungu azidi kuwabariki. Mwanangu ulipendeza sana naomba uendelee kutabasamu hivyo hivyo.
ReplyDeleteNi mimi mama yako Stella Kagoro, nakupenda sana.