Wafanyakazi wa kike wa Benki Kuu Ya Tanzania tunatoa pongezi za dhati kwa mfanyakazi mwenzetu Florence Kazimoto kwa kupata mkwe "SONNY" na tunawatakia maharusi maisha kila la kheri katika maisha yao mapya.
Maharusi na wazazi baada ya kumeremeta
katika kanisa la mtakatifu Imaculata jijini Dar
Maharusi na ndugu baada ya kumeremeta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. YAANI HAPO MAISHA BORA KWA MAISHA BORA

    ReplyDelete
  2. Hongera sana mama Tona (Flo) apendalo Mungu huwa! May the BrideGroom be blessed.

    ReplyDelete
  3. Baby Tona Hongera sana,

    ReplyDelete
  4. Tona hongera

    ReplyDelete
  5. Tona, hongera

    ReplyDelete
  6. Tona umekuwa,hongera kwa kupata mume na mtoto.flora hongera kwa kupata mkwe na mjukuu

    ReplyDelete
  7. Hongera sana mama T. Mungu yu mwema bila kumsahau Uncle Jovin Big Up. Tona asante sana kwa kutupa heshima hii halafu uongo Sonny HB flan shule kote inaeleweka sasa nyie wengine mtajiju. Jamani wenye viziba vya roho waumie lakini S & T MKO JUU.

    ReplyDelete
  8. HAO WAFANYAKAZI WANAWAKE WA BENKI KUU MBONA WANAUBAGUZI."ETU CC WAFANYAKAZI WANAWAKE WA BENKI KUU" MBONA MIMI NAWAFAHAMU BENKI HAWANA UBAGUZI NA NAFIKILI HIYO MESSG IMEKOSEWA KWA BAHATI MBAYA, KWANI INATAKIWA KUSOMEKA HIVI" SISI WAFANYAKAZI WA BENKI KUU" BILA KUEKA JINSIA.NA HUYO MJUKUU KAPATIKANA HARAKA HARAKA AU ALIKUWEPO.

    JOUNE KINYAMANA NSANGALUFU

    ReplyDelete
  9. Flora na Tona hongera sana.

    ReplyDelete
  10. Da Flora Hongera sana.... Mungu akuzidishie kila la kheir na akubariki..... I really appreciate you for you kindness..... you are such a LOVELY woman I ever met. Tona....just like ur mom..... Big up my girl..... UPENDO na UKARIMU usitoke MOYONI na USONI mwako.... Mungu akupe FURAHA DAIMA..... Aunt WARDA.

    ReplyDelete
  11. Stella KagoroDecember 07, 2010

    Habari napenda kuchukua nafasi hii kutoa pongezi zangu kwa TONA na SONNY kwa uwamuzi wao mzuri wa kufunga pingu za maisha, nawatakia kila lilo kheri kwao na familia yao mpya. Mungu azidi kuwabariki. Mwanangu ulipendeza sana naomba uendelee kutabasamu hivyo hivyo.
    Ni mimi mama yako Stella Kagoro, nakupenda sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...