Egyptian demonstrators demanding the ouster of President Hosni Mubarak, wave their national flag as they greet army troops deploying outside the national television building

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bado Bongo tuu..............

    ReplyDelete
  2. TZ tunasubiri muda tuelekee huko.

    Serikali huu ni muda wa kufanya mabadiliko ya demokrasia, kuacha kutumia police kuzuia maandamano, na kuwaondoa viongozi wazembe na kuwafikisha mahakamani waliosababisha uzembe na umasikini.

    Atuna tofauti na Egypt, Tunisia nk, uongozi unafanana kabisa aiwezekani chama kiwe madarakani miaka yote hiyo na bado awakubali mabadiliko ya demokrasia na uzembe kila kukicha.

    ReplyDelete
  3. michuzi mbona hoja post hoja yangu.kama wewe ni muwazi weka maoni ya kila mtu ili viongozi wajue malalamiko ya wananchi usibanie maoni ya watu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...