

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bado Bongo tuu..............
ReplyDeleteTZ tunasubiri muda tuelekee huko.
ReplyDeleteSerikali huu ni muda wa kufanya mabadiliko ya demokrasia, kuacha kutumia police kuzuia maandamano, na kuwaondoa viongozi wazembe na kuwafikisha mahakamani waliosababisha uzembe na umasikini.
Atuna tofauti na Egypt, Tunisia nk, uongozi unafanana kabisa aiwezekani chama kiwe madarakani miaka yote hiyo na bado awakubali mabadiliko ya demokrasia na uzembe kila kukicha.
michuzi mbona hoja post hoja yangu.kama wewe ni muwazi weka maoni ya kila mtu ili viongozi wajue malalamiko ya wananchi usibanie maoni ya watu.
ReplyDelete