ANKAL,
Hii hapa ni picha ya sherehe ya besdei ya kuzaliwa ya Kaka Abutwalibu Hamisi (shoto) akiwa ameketi pamoja na mdogo wake Nazir kwenye Mnuso wa besdei ya kutimiza miaka minane (8) hapo jana tarehe 20.01.2011. Tunamuomba mwenyezi Mungu ambariki na ampe maisha marefu. Amina.
Mdau Kikwappe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...