JK akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi mkuu wa Commonwealth Council Dr.Mohan Kaul(kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Bwana Reginald Mengi(kulia) mara baaada ya kufanya mazungumzo na Dr.Mohan pamoja na ujumbe wake ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Wengine katika picha ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji Dr.Mary Nagu(wapili kushoto), Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Juma Mwapachu(wanne kushoto) na kulia Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Emmanuel Ole Naiko.
Picha zote na mdau Freddy Maro wa Ikulu.
Picha zote na mdau Freddy Maro wa Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...