wadau mbali mbali wakiwemo walemavu, akina mama, watoto na wazee wakiwa mstari wa mbele kufanya mazoezi. Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyekuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Bonanza hilo akipokea maandamano hayo ya kuukaribisha mwaka 2011 kwa mazoezi ya viungo katika uwanja wa Amaan Stadium, Unguja, leo.
Mazoezi yakiendelea
Walemavu walikuwa mstari wa mbele kabisa
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alikuwa
mgeni rasmi katika maadhimisho ya Bonanza hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tunatoa shukurani za dhati kwa Balozi Iddi na wasaidizi wake na viongozi wa serikali (polisi, mkuu wa mkoa, makatibu wakuu na wanasiansa) kwa kujumuika nasi kataka Bonanza hili. Pia tunawashukuru wananchi kwa kushirikiana nasi. Shukran maalum ziwaendee vyombo vya habari na hasa Blog ya jamii (libeneke), Gazeti la Zanzibar Leo, TVZ, STZ na Zenj FM na stations nyengine kwa ku cover kwa upana kabisa story za bonanza. Tunategemea kupata ushirikiano wenu zaidi katika bonanza lijalo, Asanteni Sana. Watanzania/ Wazanzibari mulio ndani na nje tunaomba michango yenu ya mawazo, utaalam na Nyenzo nyegine kama vile vifaa na fedha. Chama chetu bado ni kichanga sana tunaomba kuungwa mkono kwa hali na mali
    Mshiriki wa Bonanza
    Zenj

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...