Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Teresya Huvisa akizungumza na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Bw Jacob Keidar wakati alipomtembelea ofisini Kwake Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam.
Picha na mdau Ali Meja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ankal Tanzania hatuna Ubalozi wala balozi wa Israel toka miaka ya 1960 tulipovunja uhusiano. So huu ni upotoshaji. Bw. Jacob Keidar yuko based Kenya. Tuwe makini!!!

    ReplyDelete
  2. SASA HAPO KAJA KUFANYA NINI? UK IMEFUNGA BALOZI NYINGI SANA AFRICA IKIWEMO TANZANIA,INAWAKILISHWA NA MAAFISA WAKE. UNACHOJARIBU KUKIFICHA NI KITU GANI? NA KWA MADHUMUNI GANI.AU NA WEWE NI GAIDI VILE VILE? UPOTOSHAJI UPI NA HUO NDIO UKWELI.

    ReplyDelete
  3. Ndio maana Tanzania haifanikiwi, umaskini nk,
    Israel ni Taifa ambalo nchi tajiri kama USA, UK etc zinajitahidi kuboresha uhusiano, kwani kuna siri ya mafanikio, na hiyo haikwepeki.
    Nilishawahi kusikia , mtu atakayeilaani Israel basi naye atalaaniwa.
    Hivyo nashangaa Tanzania kuvunja uhusiano na Israel 1960. Inabidi serikali ifikirie upya suala hilo kwa makini, kurejesha uhusiano imara kati ya Israel na hata Palestna.

    ReplyDelete
  4. hivi wewe unayekurupuka na comment zako kichwani zinakutosha? nani amezungumza kuhusu UK? jaribu kuingia kwenye google na uandike Jacob Keidar uone unaambiwa ni balozi wa wapi!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2011

    Tanzania inabidi ikae vizuri na Israeli, umaskini ulioko katika ili taifa ni matokeo ya Tanzania kuikacha Israeli, japo kuna mahusiono ya kibalozi lakini Tanzania inabidi itengeneze uhusiano Imara na Israeli. Kuna baraka na laana kwa yoyote anayeibariki na kuilani Israeli. Jamani Israeli ni taifa ambalo Mungu halilichagua, amelichagua tena hata sasa kwa ajili ya kupitisha baraka zake kwa mataifa mengine.

    Bwana Yesu asifiwe sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...