Amina Mbilili
ANKALI SHIKAMOO.
Mimi ni mdau namba moja wa mtandao wako,Ankali mdogo wangu Amina Mbilili leo hii anatimiza miaka 8 toka azaliwe hivyo yupo katika siku yake muhimu leo hii,ninaomba umuweke mtandaoni ili wadau mbalimbali wamtakie kheri.
Ninashukuru,ni mimi mdau wa blogu ya jamii.

HASSIHA MBILILI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Happy birthday to you. Twakutakia maisha mema na maendeleo mazuri ya shule kwa ajili ya Taifa la kesho.

    ReplyDelete
  2. Happy birthday Amina...Niece wangu anatimiza miaka 8 week ijayo jamani...I wish ningepata contact yake Amina nimpe my niece wawasiliane naye...Mimi nilianza kuwa na penpal toka nilivyokua na miaka 6 na wawili bado tunawasiliana mpaka leo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...