ANKALI SHIKAMOO.
Mimi ni mdau namba moja wa mtandao wako,Ankali mdogo wangu Amina Mbilili leo hii anatimiza miaka 8 toka azaliwe hivyo yupo katika siku yake muhimu leo hii,ninaomba umuweke mtandaoni ili wadau mbalimbali wamtakie kheri.
Ninashukuru,ni mimi mdau wa blogu ya jamii.
HASSIHA MBILILI

Happy birthday to you. Twakutakia maisha mema na maendeleo mazuri ya shule kwa ajili ya Taifa la kesho.
ReplyDeleteHappy birthday Amina...Niece wangu anatimiza miaka 8 week ijayo jamani...I wish ningepata contact yake Amina nimpe my niece wawasiliane naye...Mimi nilianza kuwa na penpal toka nilivyokua na miaka 6 na wawili bado tunawasiliana mpaka leo...
ReplyDelete