Rais wa Kampuni ya RBP Oil & Industial Technology (T)Ltd ,Mama Rahma Al Kharous akizungumza na wanahabari leo juu ya udhamini wake wa shilingi mil. 30 kwa ajili ya ukarabati wa msikiti wa Al - Auwariyya uliopo eneo la Gongoni,Bagamoyo.
Unavyoonekana msikiti huo hivi sasa kwa upande wa mbele,ambao ndio msikiti wa kwanza kujengwa katika mji wa Bagamoya ukiachana na ile iliopo kule Kaole.Msikiti huu ulijengwa mwaka 1889 na kuufanya kuwa ni moja ya sehemu za historia katika mji huo.




ukijenga nyumba ya allah hapa duniani yeye atakujengea huko akhera.
ReplyDelete