

Mdau nikiwa Vekesheni Nanihii...
-----------------------------
ANGALIZO: Globu ya Jamii inapenda kumshukuru mdau aliye vekesheni huko nanihii kwa twaswira hizi pamoja na maelezo yakinifu. Hongera sana mdau kwa kuendeleza libeneke.
Tunapenda kutoa rai kwa mdau yeyote mwenye taswira na habari yakinifu kama hizi asione noma kwani anakaribishwa kwa mikonpo yote miwili na miguu pia. Hii yote ni katika kuendeleza sera jadidu ya Globu ya Jamii kwamba 'sibagui, sichagui; atayenizika simjui...
Hivyo mdau ukiwa na taswira ama hoja ya haja, ama haja ya hoja we ilete tu kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utashughulikiwa mara moja bila kusita, na bila kelele wala mikwaruzo. Libeneke Oye!
-Michuzi
Wewe Mdau Mwongo mbona mimi nimefika na hakuna GESTI eneo hilo ama katika kata / kijiji hicho kama zipo tupe majina na picha basi. Katerero hasa ni uwanja wa wazi (kama anavyoonekana jamaa mwenye KITEGEKO - Glass ya kienyeji)ambapo watu ufika hasa siku ya Jumamosi kwa ajili ya kuuza vitu mbali mbali hasa vya mashambani ingawa siku hizi machinga wanaleta mitumba na vitu vingine kama Redio, tochi n.k toka china.
ReplyDeletePia kijiji hicho katika Wilaya ya Bukoba vijijini ama Muleba hakina GESTI zozote hivyo uache uzushi.
Michuzi Habari kama hii aina itapelekea blog yako kukosa heshima, ni sawa na mtu aanze kuhusisha upotoshaji wa JINA la mtandao fulani na uhuni unaosemwa juu ya jina hilo. ovyooooooooooo!
Mwisho %^£%$"&**(_)&(*&*^%%$ zake aliyetunga habari hii ya GESTI kuwa na Mipila ya Nailoni _)*()()^&*&^ ny(*)&)(^&%^^&* OOO OOOOOOOOOO! *&*(%^£%^%$£/*/
Kuiandika sababu ya kuweka mpira kwenye godoro kama la mtoto mdogo humu ndani itakua si vizuri maana ni mambo private. Ila kwa ufupi tuu ni kwamba kutokana na style za Kihaya kwenye starehe za chumbani, matokeo yake yatapelekea godoro kuroa na ndio sababu mpira unawekwa ili kuepusha madhara.
ReplyDeleteukweli ni kwamba mambo ya wahaya ni mmmbila hayo akieleweki na hayo yakitoka mwanamke anakua fresh bila magonjwa ya kiuno na wanajua wao wenyewe wanachofanya mdau wa kwanza usikasirike hata kama limekugusa kwani hata hapa kazini kwangu leo wahaya wamechukia kwa hilo pole hao ni washaijah kweli
ReplyDeletekwa kweli nakubaliana na huyo bwana wa kwanza (annon 09:41)huyo bwana inaonekana anatumia habari za mitaani,yeye angetoa majina na picha ya hizo guest houses.sio kawaida kijiji kuwa na guest house,tuache uzushi!
ReplyDeleteMimi ninachojua wanahacha hiyo mifuko kwa sababu gesti wanalala wageni wa kila aina wengine vikojozi wengine walevi na wengine watoto,kwa hiyo katka hali hiyo lolote laweza kutokea kuaharibu godoro ambalo kulifua ni kazi kwelikweli.kwa hiyo wako makini .Au wewe unataka ukute kunanuka?Hiyo glasi ya kienyeji sio KITEGEKO NI KITEGERA/KITEGERO..Katerero ipo Bukoba vijijini na sio Muleba imepakana na Kyemetema,Kanazi,Bujugo na Kemondo.Ni ka centre fulani hivi na kuna sekondari inaitwa katerero na primary pia inaitwa hivyo hivyo.
ReplyDeleteKazi kwenu MZEE WA IFAKARA...
Duh mi nilidhani katerero ni matusi kumbe ni jina la sehemu bwana!!! hahahahaaaaaa
ReplyDeleteNshomile na mila zao. Na mandhari nzuri sana
ReplyDeletebukoba mjini ndo nami niliikuta mipira hila si guest zote nilizoingia hapo ilikuwa mwaka 2005, mi ni mhaya asilia ila sijawahi kufika huko katerero. Mi ningekuwa wewe ningemuuliza muhudumu mapema. ila ni sababu za kiusalama si unajua magodoro bei gali lol! ungepiga godoro na naironi yake tuone, nadhani katika picha zangu ipo iloonyesha mpira ntaitafta.
ReplyDeleteK
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh! Mbavu zangu Maweeee!
ReplyDeletemi nashangaa watu mnakua na chuki? why? kwanini?
ReplyDeleteKATERERO MAANA YAKE NINI? NAONA WENGI HAMJUI. HILO ENEO LINAITWA KATERERO NA NI JINA TU KAMA YALIVYO MAJINA MENGINE. ISIPOKUA HILO ENEO ZAMANI LILIKUA NI MAARUFU SANA KWA GULIO NA UPIGAJI WA KOKOTO. MTU ALIKUA ANAKAA KISHA HUPONDAPONDA KOKOTO SASA BAADAE WATU WAKAIGIZA STAILI HIYO YA KUPONDA KOJKOTO WAKATI WA KUFANYA MAPENZI YAANI MWANAUME ANASHIKA UUME WAKE KISHA ANAUPIGAPIGA KWENYE SEHEMU ZA KIKE ZA MWANAMKE NA KWA KUFANYA HIVYO MAJI MENGI HUWA YANATOKA. HIYO NDIO MAANA GESTI NYINGI WANAWEKA MIPIRA ILI MAGODORO YASILIWE.
HABARI NDIO HIYO.
MI NAJUA ALIYEWEKA HII NI MTANI WETU WA MUSOMA ILA MKAE MKIJUA SISI WAHAYA NDIO TUMESOMA KULIKO MAKABILA YOTE TZ NA TUKO JUU SANA KIMAISHA.
HABARI NDO HIYO
MUSHUMBUSI RUGAIMUKAMU
MENEJA
BENKI MOJA MAARUFU BONGO
Nakumbeka kuna guest moja nilienda Mwanza nikakuta mipira kama hiyo iliyosemwa hapo juu. Inawezekana ni utamaduni wa eneo hilo ila sidhani kama linauhusiano na mambo mengine ya kimahusiano.
ReplyDeleteIla mdau ameongelea guest huko katerero au Bukoba mjini? Maana katerero ni kijiji ambacho hakina guest ila kuna eneo limetengwa kama soko/gulio ambapo siku ya jumamosi watu mbalimbali huleta mavuno yao ya shamba kuuza kwa ajili ya kujipatia riziki. Inakuchukua nusu saa driving kutoka Bukoba mjini mpaka hapo.
Haya mambo muhimu kujua hamna haja ya kuchukia, sioni tatizo kwa mtu kuleta topic kama hii. Mbona makabila mengine twawatania sana wejemeni. Tatizo ni kama kweli hakuna gesti na wala hii mipira. Hata hivyo hii ni burdani kwelikweli maana kama jina lenyewe lilivyo basi na kale kamtindo kanavyoleta namna basi ni budi mpira uwekwe. Nilishapita maeneo huko (siyo katerero) basi nikafundishwa haka kajamaa, si mchezo huu ni utamaduni wetu hatuna budi kujivunia, sina habari kama kuna nchi ina haka kautamaduni tukadumishe twaweza pata hata watalii kama philipines na Netherlands
ReplyDeleteMdau uliyeleta habari jibu ni simpo! Kuna wateja waliokwishawahi kulowesha hayo magodoro ya gesti ndio maana ikaamuliwa kuwe na mipira ya kuzuia godoro kulowa.
ReplyDeleteWaliloweshaje? Kuna wateja vijojozi? n.k. ... hiyo mimi na wewe hatujui!
NILIKAA KIMYA NIKIFUATILIA KUONA COMMENTS ZA WADAU,KATI YA WOTE WALIOSEMA NI MTU MMOJA TU AMEELEZEA VIZURI TENA BILA "KUCHAFUA HALI YA HEWA" WALA "KUJERUHI HISIA ZA WATU,MTU HUYU KWA HESHIMA YA KIPEKEE KABISA NAOMBA NIMTAJE MENEJA WA BENKI "MAARUFU" BWANA MASHAMBUSHI,YEYE NDIO PEKEE AMBAE HAKUUMA MANENO KAITOA KAMA ILIVYO,WENGINE WENGI WAMEJIKITA KATIKA KUISHIA KUKANUSHA UWEPO WA GESTI HUKU KATERERO NA KUTUMIA MEEEEEEENGI KULIELEZEA SOKO,SIJUI HALI YA HEWA YA HUKO,MARA WAPONDA KOKOTO WAKATI ISSUE HAPO ILIKUA NI JE MIPIRA YA KAZI GANI CHINI YA GODORO BILA SHAKA MASHAMBUSI AMETOA MAJIBU SAHIHI.NAOMBA SASA MJADALA UFUNGWE.
ReplyDeleteww ulieleta habari hii huna akili,mjinga mjinga tu na hilo tumbo lako kubwa utafikili unakunya humo humo.
ReplyDeleteMakubwa kweli aleleta hii habari hajatulia, anko michuzi uwe unacheck kwanza ishu nyingine maana unaweza kuwa umetumiwa na chizi mana hili lijamaa linaonekana ni chizi na hilo tumbo lake ndo kabisa.
ReplyDelete