Msanii mahiri kutoka THT,Barnaba akiimba na shabiki wake jukwaani mbele ya baadhi ya wakazi wa Moshi usiku huu kwenye kiwanja cha chuo cha ushirika,katika muendelezo wa tamasha la msimu wa raha kamili na serengeti.
Wakishoo love kwa wadau usiku huu.kutoka kushoto ni Daudi Lembuya,Charlz Muhamiji a.k.a Mr C,Muwakilishi kutoka SBL Benjamin Marik,Andrew Kusaga pamoja na Mdau wa SBL,mbele yao ni msanii Lina
Msanii Lina akicheza na shabiki wake jukwanii
Sajna kutoka jijijini Mwanza akiwatumbuiza wakazi wa moshi jioni ya leo
Tamasha la msimu wa raha kamili na serengeti likiwa limefana sana katika uwanja wa chuo cha ushirika moshi jiioni hii. Zaidi Hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...