


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hii mechi imechezwa siku 2 tofauti au ni vipi? mbona naona jezi tofauti tofauti timu ya atletiko!!!
ReplyDeleteDah! kweli Simba ni kiboko yaani Yebo yebo walikung'utwa goli mbili bila lakini mfalme wa porini a.k.a wekundu wa msimbazi wamekomaa na kutoka droo.
ReplyDeleteKweli Simba ni wanaume,Yanga mdebwedo kudadadekiiii Simba oyeeeeeeeeeee.
uncle..mambo vipi?? tunashukuru kwa kutuletea habari mbali mbali kutoka hapo nyumbani..kwa sisi tulioko mbali na nyumbani..tunafurahi tunaposoma habari za nyumbani kupitia global yako..!!sasa kwanini hutuandikii kwa kirefu na list za wachezaji wa timu zote walizocheza..!
ReplyDeleteNi hayo tu kwa leo..usiku mwema
double d
Yanga walifungwa 3-2 sio 2-0.
ReplyDeleteilikuwaje jana mbona naona kama jezi za wabrazil mara nyekundu mara nyeupe?au walikuwa wanaonyesha mitindo?
ReplyDeleteSimba wanatisha.Wametoka sare na timu mbili za Brazil kwa dakika tisini wakati watani zetu walifyata mkia dakika tisini kwa kucheza na timu mojawapo tu. Je, wagekipiga na tumu zote mbili ingekuwaje?
ReplyDeleteNi ujinga kusifia draw na timu ya tatu ya Brazil.
ReplyDelete