Francis Dande wa Globu ya Jamii
Klabu za Yanga na Simba za Dar es salaam zimepambana usiku huu katika fainali ya kombe la Mapinduzi Cup ambapo Simba wameondoka kidedea kwa kuinyuka Yanga bao 2-0 na kutwa ubingwa wa kombe hilo, katika michuano iliyoshirikisha timu za bara na visiwani. Mussa Hassan Mgosi na Shija Mkina ndio wafungaji wa magoli hayo. Mabingwa wa mwaka jana walikuwa Mtibwa Sugar.NA MPIRA UMEKWISHA...
uncle,mbona umetoa ujumbe kwa masikitiko?kwi kwi
ReplyDeleteKANDAMBILI ZIMEKATIKA MARA MBILI YAKHEEEEE JAMAAA KALIWAAAAAA!!! Goli Ngapi Yakheee ah Mbili tuuu Tehtehteh! . MZ.
ReplyDeletenani kasema mnyama usiku haoniiiiiiiiiiii ????? Mwanza kule ilikuwa mbinu ya kuwafurahisha CCM tu tuliwaachia kwajili ya Uchaguzi na sare za CCM. Michuziii upoooooo???
kweli simba tunatisha sasa ni zamu ya migogolo ichukue nafasi jangwani maana fedha za manji hazijasaidia kitu SIMBA oyeeeeeeeeeeee
ReplyDeletehuyu askari naona ana ugonjwa wa akili ina maana kama kocha nae hatakiwi benchini inakuwaje au alipewa kadi nyekundu? ndo mana tunaambiwa askari wetu wanahitaji maarifa na si miguvu!
ReplyDeleteMAFUNZO YA HAWA MAPOLICE WETU WANAPEWA ZAIDI PRACTICAL KULIKO THEORY KWANI WAO WANAKUWA NA GAZABU HATAPASIPO TAKIWA ASWA WAKIWAONA WAKUBWA NDO SIFA ZINAPANDA NI VICHEKESHO UNAZUA KOCHA MADAKTARI , UNAZUIA ZUIA TU PILA HATA KUULIZA ! ASARA TUPU
ReplyDeleteMDAU PARIS