Ankal,
tujikumbushe huu wimbo wa kiswahili ktk mipigo ya disko uliotungwa na Bendi ya Kibelgiji - 'A.I. E a Mwana nina kwenda kwetu pamoja....na batoto yote... Baba,mama, rafiki bakieni muzuri...''

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ankal huo wimbo ulitungwa na "Black Blood", band ya Wazaire waliokuwa Belgium 1975. Wao walitoa album iliyouzwa zaidi ya copy milioni moja. Nyimbo zao zote ziliimbwa kwa Kiswahili.

    ReplyDelete
  2. Huo wimbo wa Kiswahili ulitungwa miaka ya 1970's na bendi moja ya Wakongo waliokuwa wakiishi Ubelgiji. Bendi hiyo ilikuwa ikiitwa "Black Blood". Moja ya malengo ya bendi hiyo ilikuwa ni kukuza lugha ya Kiswahili na kukuza "Afrocentrism". Wasalaam. Kijana wa zamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...