Ankal,
tujikumbushe huu wimbo wa kiswahili ktk mipigo ya disko uliotungwa na Bendi ya Kibelgiji - 'A.I. E a Mwana nina kwenda kwetu pamoja....na batoto yote... Baba,mama, rafiki bakieni muzuri...''
tujikumbushe huu wimbo wa kiswahili ktk mipigo ya disko uliotungwa na Bendi ya Kibelgiji - 'A.I. E a Mwana nina kwenda kwetu pamoja....na batoto yote... Baba,mama, rafiki bakieni muzuri...''
Ankal huo wimbo ulitungwa na "Black Blood", band ya Wazaire waliokuwa Belgium 1975. Wao walitoa album iliyouzwa zaidi ya copy milioni moja. Nyimbo zao zote ziliimbwa kwa Kiswahili.
ReplyDeleteHuo wimbo wa Kiswahili ulitungwa miaka ya 1970's na bendi moja ya Wakongo waliokuwa wakiishi Ubelgiji. Bendi hiyo ilikuwa ikiitwa "Black Blood". Moja ya malengo ya bendi hiyo ilikuwa ni kukuza lugha ya Kiswahili na kukuza "Afrocentrism". Wasalaam. Kijana wa zamani.
ReplyDelete