Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA wakiondoka ukumbi wa Bunge kususia upigwaji wa kura wa kukubali ama kukataa kuwepo kwa kambi ndogo ya upinzani, na wao kukubali kujumuisha wabunge wa vyama vingine kwenye serikali kivuli ya kambi ya upinzani
Home
Unlabelled
Chadema wasusa bunge leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ujinga mwingine wa watu tunaowaita wawakilishi wetu sasa nani atatuwakilisha na kutoa kilio chetu bungeni kama huu mchezo utaendelea? Chadema tumewachagua siyo kwa kukimbia vikao hebu kaeni chini mlifikilie hili suala kabla hamjalia uchaguzi ujao...
ReplyDeleteNawaunga mkono wabunge wa Chadema kwa sababu ni vichwa, kwa mtu mwenye ubongo wa shake well before use unaweza hawapo sahihi.
ReplyDeleteSuala la chama cha CUF kuwa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa kwa kushirikiana na CCM huko Tanzania visiwani, lakini kwa wakati huo huo kikataka kujiunga kwenye kambi ya upinzani hapa Tanzania bara, kwaminajili ya kupinga serikali inayoundwa na chama ambacho ni mshirika wake huko Tanzania visiwani, lina utata wa kisheria, hivyo nashauri wahusika walipeleke suala hilo mahakamani lipatiwe tafsiri iliyo sahihi.
Wewe kanjanja hapo juu una akili lakini?
ReplyDeleteHao CUF wanalazimisha mambo ya kule kisiwani yatokee na huku balaa wananchi tumewashtukia na mwaka 2015 watapata wabunge wasio zidi 5 wanajimaliza wenyewe na kwanza wewe any.10;50;00 hukuichagua Chadema
Duu kazı kweli kweli yaani nchi yetu inaelekea pabaya sana,matatizo mob kwani wakiungana na wenzao wa upinzani kitapungua nini na nguvu itakuja vipi kama haa wapinzani wanataka makundi kibaoo!!Chadema kweli matatizo tuu !
ReplyDeleteREVOLUTION.... WABONGO MMESHAZOE KUONA WATU VICHWA CHINI SASA HAOOO... THEY DARE TO PROTEST.. NA WATAPATA KURA YANGU NEXT TIME...
ReplyDelete....CUF, you can't eat your cake and have it! Kwa kuwa CUF ni chama kimoja, haiwezekani kikawa ni chama tawala visiwani na wakati huo huo kikadai kuwa chama cha upinzani bara, no way! CUF ni chama tawala tu kama sisiemu. Wasitake kutuulia upinzani bara, washindwe na walegee!
ReplyDeleteNyie mnaoitetea chadema naona hamna akili timamu! kwa sababu KEnya kuna mseto mbona watu maisha yao yanawaendea! Chedema tumewastukia! hawafai kuongoza , hivi hawa wakipewa madaraka tutapona kweli???
ReplyDeleteasante mh spika kwa ufafanuzi Mzuri..tuna mambo mengi ya msingi ya kujadili sio kupoteza muda kwenye kupiga magoti sijui na kuinamisha kichwa au mkunjo wa goti...kwa hilo kula dala makinda
ReplyDeleteCHADEMA... mpo bungeni kwa ajili ya maslahi yetu au yenu? Yaani bado mnalilia uongozi tu! Sasa kwa nini mna protest kwa kutoka nje? Ina maana hoja zenu hazina nguvu? Acheni hizo
ReplyDeleteWakiondoka, wanyimwe matupurupu...watarudi upesi sana!
ReplyDeleteWatu msilopoke hovyo, kwani hoja waliyoipinga ilikuwa inahusu uwakilishi wa matatizo ya wananchi? Sawa kabisa watu wamechoka kuona CCM na rafiki zao wakipindisha sheria kutaka kuua upinza. Huwezi kuwa mtawala hapohapo kwenye upinzani wapi na wapi? Aliyefananisha na Kenya nadhani hajui kuwa Kenya na umoja wa wapinzania ndio unatawala ni tofauti kabisa na TZ.
ReplyDelete