Home
Unlabelled
edgar kaliboti aongelea mstakabali wa sanaa za mapambano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal kumbe na weye ni mtaalamu wa mchezo sanaa za kujilinda (martial arts)si bure una nidhamu kubwa.
ReplyDeleteTumefurahi Ankal kwa kuturushia mahojiano na mwanasanaa mahiri wa BJJ (na siri yako ya uanasanaa kusikika). Nimefurahi adhma yake ya kupanga kuendeleza sanaa mpya hapa nchini, na ushauri wake kwa wanasanaa wengine. Bila shaka Tanzania tunahazina nzuri katika sanaa za aina hii.
ReplyDelete