Nguzo ya umeme ikiwa imeinama karibu na kuangia chini ,sambamba na nyaya zake zikiwazimeshuka hadi chini na kutuama juu ya kibanda cha kupumzikia watu ,hali inayohatarisha usalama wa wakazi wa Mtaa wa Lumemo, Mjini Ifakara ambapo wananachi wa eneo hilo wanadai kuwa ni miezi mitatu imepita bila wahusika kuhukua hatua za kurekebisha hali hiyo ,kama ilivyokutwa juzi eneo hilo.
Home
Unlabelled
hatari ya nyaya za umeme mjini ifakara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Katiba Mpya itatusaidiaje hapa?
ReplyDelete