hivi ndivyo kinavyoonekana kikwangua anga cha Tanesco kilichopo pale stesheni,kwakweli kinapendeza sana kwa sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Jengo hata liwe safi vipi kama wananchi hatupati huduma ya nishati halina maana yoyote kwa wananchi kwanza tunavyoliona linatupa hasira usilete picha kama hii again!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Sasa Ankal kule juu mgahawa??? naomba utuulizie ! au holi la arusi ??? tujue maana nakaribia kufunga pingu !

    ReplyDelete
  3. Kinapendeza Nje ila Tabia zake ni Chafuuuuuuuuuuuuuu Tanesco jirekebisheniiiii!!!!! Dah NYama na Samaki washaozaaaa kwenye Friza. MZ.

    ReplyDelete
  4. basi na umeme upendeze kiasi hicho du!

    ReplyDelete
  5. Sidhani kama ni sahihi sana kuliita jengo la ghorofa nne 'kikwangua anga' (skyscraper).

    ReplyDelete
  6. SIS WANANCHI TUNAILAUMU TANESKO WAKATI SISI WENYEWE NDIO TUNAILEA.."MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO"

    ReplyDelete
  7. tungeomba na uzuri wa jengo uendane na tabia za wafanyakazi mungu ibariki africa mungu ibariki tanzania

    ReplyDelete
  8. Jengo zuri wakati umeme hakuna haina maana. Sana sana inaongeza hasira tuu kwa wananchi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...