Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Inasisimua

    ReplyDelete
  2. this guy seems to know what he is talking about

    ReplyDelete
  3. Jamaa amemaliza mabadiliko yote ya katiba. Hayo ni mambo makuu na yanahitaji muda kuyashughulikia. A VERY SMART GUY!!!

    ReplyDelete
  4. Mpaka leo 'educated and learned people' wamejaa kibao kila kona ya Tanzania tangu enzi hizo za 1970s - wapo ehh

    ReplyDelete
  5. Ofcourse namuunga mkono 101% lazima kuwe na mabadiliko na yasiachwe chini ya rais wetu Dr.Jakaya Kikwete wala watu wale wale we need a transformational change inside out!!

    ReplyDelete
  6. duh! kama huyu anasisimua na "educated and learned" basi viwango vya wanasiasa huko bongo ni vya watoto wadogo.

    ReplyDelete
  7. duh! Anon Feb06,03:32, hii kitu haipingiki huyu ni inteligent (kama ulivyosema well 'educated and learned'). Ka-analaizi na disikrepasiz za katiba kazilaza juani. Kazi ipo.

    inaeleweka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...