Home
Unlabelled
mh. tundu lisu aongelea mchakato wa katiba mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Educated and learned.
ReplyDeleteInasisimua
ReplyDeletethis guy seems to know what he is talking about
ReplyDeleteJamaa amemaliza mabadiliko yote ya katiba. Hayo ni mambo makuu na yanahitaji muda kuyashughulikia. A VERY SMART GUY!!!
ReplyDeleteMpaka leo 'educated and learned people' wamejaa kibao kila kona ya Tanzania tangu enzi hizo za 1970s - wapo ehh
ReplyDeleteOfcourse namuunga mkono 101% lazima kuwe na mabadiliko na yasiachwe chini ya rais wetu Dr.Jakaya Kikwete wala watu wale wale we need a transformational change inside out!!
ReplyDeleteduh! kama huyu anasisimua na "educated and learned" basi viwango vya wanasiasa huko bongo ni vya watoto wadogo.
ReplyDeleteduh! Anon Feb06,03:32, hii kitu haipingiki huyu ni inteligent (kama ulivyosema well 'educated and learned'). Ka-analaizi na disikrepasiz za katiba kazilaza juani. Kazi ipo.
ReplyDeleteinaeleweka.