Home
Unlabelled
Move to Labels More actions 1 of 10 Older › Mama Asha Bilal atembelea Majeruhi wa Mabomu Hospitali ya Amana leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi naomba utoe taharifa hii hewani uokoe maisha ya raia. Mimi nakaa maeneo ya Buyuni Pugu kwenye mradi wa serikali. Mabomu yametapakaa maeneo mengi ya hapa. Kuna moja limechimba mbele ya nyumba yetu. Kuna matano nimeyaona kwa macho maeneo jirani. Na kuna mapori mengi hivyo inawezekana mengine hatuwezi yaona. Tumetoa taharifa kwa wanajeshi (tulikutana nao Kajiungeni) wakatupa majibu ya kukatisha tamaa. Wanasema hapo walipo wanaokota mabomu na yamejaa kwenye gari. Hawakuomba namba yetu ya simu wala kuuliza vizuri mabomu yako wapi. Na ujuavyo huwezi bishana na wanajeshi. Tumebaki tunasubuli kufa maana hii ni siku ya pili. Hata kama labda kuna uhaba wa wataalamu wa mabomu, ni mara kumi serikali iombe msaada kuliko kuhacha watu wake tuangamie. Usiporusha hii habari kwenye blog yako damu yangu nikifa itakuwa juu yako. Nia yangu ni msaada si kulaumu.
ReplyDelete