Wake wa viongozi wamefanya ziara katika mahospital na kutoa misaada katika kituo cha kupokela misaada kilichopo Gongo la Mboto. Juu ni mke wa waziri mkuu Mama Tunu Pinda na mke wa Waziri Mkuu mstaafu Mama Regina Lowassa wakimjulia hali mgonjwa Mwajuma Jumanne mkaazi wa Gongo la Mboto ambaye ameumia
mke wa waziri wa ulinzi Mama Mariamu Mwinyi ambaye ni miongoni mwa wake wa viongozi akitoa pole kwa mwathirika wa mabomu gongolamboto hospital ya amana leo
Wake wa viongozi wakiabidhi misaada kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa mabomu Gongo la Mboto kwa kaimu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Sadik. Shoto ni wake wa makamu wa rais Mama Asha Bilali na Mama Zakhia Bilali pamoja na mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu pinda. Kulia ni kamanda kanda malumu ya kipolisi ya Dar es salaam afande Suleimani Kova misada hiyo imekabidhiwa leo katika kituo kilichopo Gongo la Mboto picha na Chris Mfinanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...