Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Haji Mponda akizungumza na watalaam wa afya wakati wa ufunguzi wa mkutano kazi unaowajumuisha watalaam wa timu za uendeshaji wa Huduma za afya za mikoa na timu za uendeshaji za hospitali za rufaa leo jijini Dar es salaam ambapo ametoa wito kwa wataalam hao kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni na maadili ya taaluma ya afya.
Katibu mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Blandina (katikati) akizungumza jambo na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Haji Mponda (kulia) na Mganga mkuu wa Serikali Dkt. Deo Mutasiwa mara baada ya kufunguliwa kwa mkutano kazi wa watalaam wa timu za uendeshaji wa Huduma za afya za mikoa na hospitali za rufaa nchini leo jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...