Baadhi ya waliohudhuria mkutano huo ikiwa ni pamoja na (toka kulia) Profesa Issa Shivji, Profesa Saida Haroub Othman, Mkurugenzi wa TGNP na Mkurugenzi wa TAMWA Bi Ananilea Nkya
Sehemu ya waliohudhuria
Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Balozi Juma Mwapachu akihutubia hadhara hii

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania
Bw. Kajubi wa Mukajanga akielezea kuhusu Azimio la Dar es salaam

Jaji Mark Bomani akiongea.

Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...