ASALAAM ALAYKHUM ANKAL,

POKEA TAARIFA KAMILI ZA MISHAHARA YA VIGOGO WA MAREKANI NA MAJUKUMU YAO. HIYO NI TOP TEN YA MISHAHARA YA SERIKALI. JE, SERIKALI YETU INAWEZA WEKA WAZI MISHAHARA YA VIGOGO WAKE NA RAISI AKIWEMO?

HABARI KAMILI BOFYA HAPA

MDAU WA MTWARA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Tehe tehe mtwara wamo sio?

    ReplyDelete
  2. It will take time for our government to expose such a big secret of huge earn.

    Mdau Fin

    ReplyDelete
  3. Habari hizi za kweli duh kuna watu wanakula maisha hapa dunianai bwana ukweli mungu akikupa kakupa tu acha sisi tuvimbe macho. yaani fulll kuchakachukiwa kila kukicha hahahahahaaa yaani vigogo wetu waweke hadharani wizi maana mishahara hiyo si ya halali? wetu wanalipwa kigodo lakini wanachochapa kinazidi hata hichi cha marekam
    ni

    ReplyDelete
  4. I would like to know more about this source ya habari hizi ni wapi tupashane wadau. Je ni mishahara ya marekani tu au hata nchizingine pia manaijua mishahara hii pls tupeane habari.

    mdau German

    ReplyDelete
  5. Mmmh! nina wasiwasi vigogo wetu wa ikulu wakiona izo figure nao watajitengenezea viwango kama ivyo vya USA.

    ReplyDelete
  6. uncle naomba uniwekee msaada tutani.

    kwanza nianze kukupongeza kwa kazi nzuri ya kuhabarisha jamii. ninaomba kutoa tahadhari kwa wenye magari jijini dar es salaam. hivi sasa kumetokea tabia ya kuwepo kwa vijana ambao husafisha vioo vya magari yanapokuwa kwenye foleni na kisha kudai sh 100. watu wengi huwakatalia watoto hao na kuondoka lakini hv sasa watoto hao wamebuni njia ya kupambana na hali hiyo ambapo unapomkatalia asisafishe hulazinisha kusafisha na unapoamua kuondoka bila kulipa hunyofoa sidemirrow au wiper akishindwa basi angalau hukwaruza rangi ya gari kwa kitu chenye ncha kali ilikuchora msitari. Kwa taarifa hii nina watahadharisha wenye magari wanapokutana na vijana hao lakini pia kuomba mamlaka zinazohusika kushughulikia sual hilo mapema iwezekanavyo kwani tunakoelekea ni kuvunjiwa vioo.

    ReplyDelete
  7. Tafuta Waraka wa serikali katika ngazi za kazi unazotaka utapata taarifa zote. Waraka sio siri. Hata hivyo hiyo itatusaidia nini? Maana sijui huko marekani, Viongozi wetu hususan wakubwa hawategemei sana mishahara kwa maisha yao ya sasa wala ya baadae

    ReplyDelete
  8. Hata huko Marekani, hii habari imefichwa mambo mengi tu ambayo viongozi hao wanapata marupurupu mengi tu ambayo kwa mleta taarifa kasema nisiri kwa uslalama wa nchi na wahusika.

    ReplyDelete
  9. Mshahara si issue. Issue ni extra income. Mishahara ya vigogo wetu mbona ni ya kawaida sana. Suala ni kama wana cash balance na mali kiasi gani kwani ni wala rushwa wakubwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...