Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais mstaafu awamu ya tatu Benjamin William Mkapa wakati wa ibada ya kumweka wakfu askofu mpya wa jimbo Katoliki la Dodoma Mhashamu Gervas John Nyaisonga iliyofanyika mjini Dodoma
Baadhi ya wakazi wa mji wa Dodoma wakisalimiana na Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kumalizika ibada ya kumweka wakfu na kumsimika Askofu mpya wa jimbo Katoliki Dodoma,Mhashamu Gervas John Nyaisonga iliyofanyika katika kanisa kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjni Dodoma jana.Sherehe hizi zilihudhuriwa pia na viongozi mbalimbali akiwemo Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa
Aiii jamani na mimi mheshimiwa jamaaaaniii...
Hapa bado.....hapa bado mheshimiwaaaaa....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Dah..! Natamani ningekuwepo nimpe mkono MH. BM! My all times hero!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...